Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
- Thread starter
-
- #41
Never go against the boss kama mwajiriwa na unaitaka kazi yako unalijua hilo (ni uchaguzi wa kulala njaa au kulisha familia yako) ipo ivyo duniani kote.Naongezea, akumbukwe kwa mchango wake uliotukuka katika vita dhidi ya corona. Sijui ni nini kilimkuta mpaka akayaacha haya mapambano katikati 🐒
View attachment 2371152View attachment 2371153View attachment 2371154
View attachment 2371160View attachment 2371156
Mpumbavu ni wewe unayempigania shemeji yako abakie kwenye hiyo wizara ili nawe uendelee kula na kulala bure.Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.
Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.
Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.
The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.
Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.
Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.
Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.
Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.
Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.
Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.
You people deserve what you get
Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.
I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
PumbafKatika wataalamu Tanzania huyo mtu sio poa kwenye afya and more; she is a genius.
Dorothy Gwajima ni mtaalamu ambae angeweza iboresha hiyo wizara basi tu. Kumuelewa inataka ujue misingi ya management ya wizara ya afya.
I remember some fool tried to lie to her whilst doing inventory auditing on medicines.
During the process not to be taken as an idiot the woman quoted ‘Schrödinger’s equation’ in auditing process when numbers dint add up.
To appreciate the joke you ought to understand the auditing process, how she implied quantum physics and what it she was trying to say (either way it tells you the woman has depth).
Yaani kabisa huyo mtu unaweza mfananisha na Ummy Mwalimu that is just beyond me.
Gwaji Girl hafai kwenye kiti cha Uongozi anafaa kuwa mtendaji tu.Apelekwe kwenye taasisi kubwa za Afya kuwa Mtendaji Kiongozi atafaa zaidi.Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.
Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.
Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.
The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.
Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.
Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.
Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.
Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.
Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.
Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.
You people deserve what you get
Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.
I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Ueleweki unalalamikia nini ili upewe jibu sahihi.Hawa Wataalam kama Gwajima wanaoanzia Halmashauri ovyo kabisa. Nina mashaka huyu aliyekuwa DMO na baadae RMO hajawahi ku practise bali alikuwa Administrative Doctor. Lakini cha kusikitisha amekosa hata hekima za Kiuongozi tulizotegemea awe nazo kwa yeye kuanzia Kwa madiwani huko Halmashauri. Ovyo kabisa huyu unaemtetea!
Kwani hao "watanzania wapumbavu" walipiga kura huyo mtaalamu pekee nchini Dr Gwajima ang'olewe? Wewe ni mjinga na mpumbavu kuliko unavyojidhania, hata kama ni chawa sii sahihi kutumia hiyo approach unayoifuata. You're an imbecile.Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.
Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.
Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.
The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.
Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.
Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.
Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.
Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.
Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.
Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.
You people deserve what you get
Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.
I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Kwa hiyo kama boss ndio anaamua nini kifanyike na yeye anafanya tu kama ng'ombe basi hakuna umuhimu wa yeye kuwepo kwenye hiyo nafasi kama unavyojaribu kutuaminisha, anaweza akawekwa mtu yoyote na kufanya hiyo kazi. Mbona Faustine Ndugulile alikataa mambo ya kujifukiza pamoja na kuwa ndio ushauri uliotolewa na boss wake ?Never go against the boss kama mwajiriwa na unaitaka kazi yako unalijua hilo (ni uchaguzi wa kulala njaa au kulisha familia yako) ipo ivyo duniani kote.
Hayo ni maamuzi ya boss na hakuna wataalamu waliobishia, kumlaumu leta hoja za mtu mwingine yeyote aliweza pinga.
Achaneni na Dorothy Gwajima maana alipoondoka afya alishangilia na kule aliko anashangilia zaidi. Huyu mtu anaishi kwa principles za uzalendo na haki, hakuna alichosahau afya cha kumfanya aje humu kujipigia debe. Huyo mama siyo wa aina hizo mlizozoea kwamba anakitazama cheo kwa jicho ambalo nyie mnalitazama, acheni kujifanya eti hamjui au hamuoni au hamfahamu. Nilidhani mngetumia muda kuomba abaki kule aliko walau mwaka mmoja mwingine asaidie vizazi vyenu kwa majanga yanayoendelea huko ambako wala hamfuatilii ni majanga gani.Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.
Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.
Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.
The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.
Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.
Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.
Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.
Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.
Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.
Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.
You people deserve what you get
Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.
I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% she is a tenchocrat angefaa kuwa kwenye taasisi inayoelewa mifumo ya afya na namba kusimamia ubora wa huduma, kuliko kuongoza wizara.Gwaji Girl hafai kwenye kiti cha Uongozi anafaa kuwa mtendaji tu.Apelekwe kwenye taasisi kubwa za Afya kuwa Mtendaji Kiongozi atafaa zaidi.
Achaneni na Dorothy Gwajima maana alipoondoka afya alishangilia na kule aliko anashangilia zaidi. Huyu mtu anaishi kwa principles za uzalendo na haki, hakuna alichosahau afya cha kumfanya aje humu kujipigia debe. Huyo mama siyo wa aina hizo mlizozoea kwamba anakitazama cheo kwa jicho ambalo nyie mnalitazama, acheni kujifanya eti hamjui au hamuoni au hamfahamu. Nilidhani mngetumia muda kuomba abaki kule aliko walau mwaka mmoja mwingine asaidie vizazi vyenu kwa majanga yanayoendelea huko ambako wala hamfuatilii ni majanga gani.Uyo mama hana lolote la maana alilofanya kweny iyo sector ya afya zaid maigizo tu ikwa lipo nitajie ata 1 tu afadhal ya uyo ummi mara 💯
Umeiweka vizuri as far as she is concerned that’s her role; afisa habari.Kwa kifupi ummy mwalimu ni afisa habari wa wizara ya afya, sio waziri... anaamini kuongea na waandishi kila siku ndio kupiga kazi, ila kiukweli hana uwezo, geajima ndio palimfaa pale...
Huyu huyu aliyekuwa ana advocate Kula Kachumbari kama Kinga dhidi ya COVID-19, Ndio Giniaz
Namuelewa sana kwenye afya hila sio kwenye social services kwa ujumla.Achaneni na Dorothy Gwajima maana alipoondoka afya alishangilia na kule aliko anashangilia zaidi. Huyu mtu anaishi kwa principles za uzalendo na haki, hakuna alichosahau afya cha kumfanya aje humu kujipigia debe. Huyo mama siyo wa aina hizo mlizozoea kwamba anakitazama cheo kwa jicho ambalo nyie mnalitazama, acheni kujifanya eti hamjui au hamuoni au hamfahamu. Nilidhani mngetumia muda kuomba abaki kule aliko walau mwaka mmoja mwingine asaidie vizazi vyenu kwa majanga yanayoendelea huko ambako wala hamfuatilii ni majanga gani.
uyo Gwajima mnayemsema humu msikilizeni kule aliko anapambana kuokoa watoto wenu toka kwenye Giza nene la ukatili unaofanywa na watu wazima kama nyie. Mwaka jana watoto 11,499 walikatiliwa: ambapo, 5899 walibakwa na 1114 walilawitiwa. 60% ukatili umetokea nyumbani kwenye familia na 40% mashuleni.Namuelewa sana kwenye afya hila sio services kwa ujumla.
Kinachoendelea sasa Tanzania na wote tunahabarishwa kuhusu matukio ya ubakaji, kuuana na mambo mengine vita vyake ni sensitive vina pande mbili vya wazi na vya siri na silaha kubwa ni media propaga sidhani kama anazo hizo skills.
Hivi ulikuwa na sababu zipi za msingi za kuanza na lugha kichefu chefu?!Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.
The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.
Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.
Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.
Tumekusikia wakili msomi Mr Gwajima.