Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
- Thread starter
- #41
Never go against the boss kama mwajiriwa na unaitaka kazi yako unalijua hilo (ni uchaguzi wa kulala njaa au kulisha familia yako) ipo ivyo duniani kote.Naongezea, akumbukwe kwa mchango wake uliotukuka katika vita dhidi ya corona. Sijui ni nini kilimkuta mpaka akayaacha haya mapambano katikati 🐒
View attachment 2371152View attachment 2371153View attachment 2371154
View attachment 2371160View attachment 2371156
Hayo ni maamuzi ya boss na hakuna wataalamu waliobishia, kumlaumu leta hoja za mtu mwingine yeyote aliweza pinga.