Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

Naongezea, akumbukwe kwa mchango wake uliotukuka katika vita dhidi ya corona. Sijui ni nini kilimkuta mpaka akayaacha haya mapambano katikati 🐒

View attachment 2371152View attachment 2371153View attachment 2371154
View attachment 2371160View attachment 2371156
Never go against the boss kama mwajiriwa na unaitaka kazi yako unalijua hilo (ni uchaguzi wa kulala njaa au kulisha familia yako) ipo ivyo duniani kote.

Hayo ni maamuzi ya boss na hakuna wataalamu waliobishia, kumlaumu leta hoja za mtu mwingine yeyote aliweza pinga.
 
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.

Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.

Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.

Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.

Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.

Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.

Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.

You people deserve what you get

Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.

I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Mpumbavu ni wewe unayempigania shemeji yako abakie kwenye hiyo wizara ili nawe uendelee kula na kulala bure.
 
Katika wataalamu Tanzania huyo mtu sio poa kwenye afya and more; she is a genius.

Dorothy Gwajima ni mtaalamu ambae angeweza iboresha hiyo wizara basi tu. Kumuelewa inataka ujue misingi ya management ya wizara ya afya.

I remember some fool tried to lie to her whilst doing inventory auditing on medicines.

During the process not to be taken as an idiot the woman quoted ‘Schrödinger’s equation’ in auditing process when numbers dint add up.

To appreciate the joke you ought to understand the auditing process, how she implied quantum physics and what it she was trying to say (either way it tells you the woman has depth).

Yaani kabisa huyo mtu unaweza mfananisha na Ummy Mwalimu that is just beyond me.
Pumbaf
 
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.

Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.

Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.

Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.

Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.

Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.

Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.

You people deserve what you get

Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.

I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Gwaji Girl hafai kwenye kiti cha Uongozi anafaa kuwa mtendaji tu.Apelekwe kwenye taasisi kubwa za Afya kuwa Mtendaji Kiongozi atafaa zaidi.
 
Hawa Wataalam kama Gwajima wanaoanzia Halmashauri ovyo kabisa. Nina mashaka huyu aliyekuwa DMO na baadae RMO hajawahi ku practise bali alikuwa Administrative Doctor. Lakini cha kusikitisha amekosa hata hekima za Kiuongozi tulizotegemea awe nazo kwa yeye kuanzia Kwa madiwani huko Halmashauri. Ovyo kabisa huyu unaemtetea!
Ueleweki unalalamikia nini ili upewe jibu sahihi.

Vinginevyo wizara ya succession planning depends on performance appraisal and development.

Ukiona mtu ni mkurugenzi wizarani elewa huyo sio tia maji tia maji; kapikwa na uwezi kumuongopea. Issue ni makatibu wakuu ambao rahisi anaweza waokota.

Lakini hadi kufikia nafasi ya ukuregenzi wa wizara kuna kusota. Kwa CCM ya sasa everything is possible wanaweza haribu ata huo utaratibu Dr Gwajima kabla ya kuteuliwa kuwa waziri alipikwa from work floor kama hujui alipotokea na kamanda based on performance.
 
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.

Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.

Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.

Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.

Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.

Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.

Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.

You people deserve what you get

Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.

I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Kwani hao "watanzania wapumbavu" walipiga kura huyo mtaalamu pekee nchini Dr Gwajima ang'olewe? Wewe ni mjinga na mpumbavu kuliko unavyojidhania, hata kama ni chawa sii sahihi kutumia hiyo approach unayoifuata. You're an imbecile.
 
Never go against the boss kama mwajiriwa na unaitaka kazi yako unalijua hilo (ni uchaguzi wa kulala njaa au kulisha familia yako) ipo ivyo duniani kote.

Hayo ni maamuzi ya boss na hakuna wataalamu waliobishia, kumlaumu leta hoja za mtu mwingine yeyote aliweza pinga.
Kwa hiyo kama boss ndio anaamua nini kifanyike na yeye anafanya tu kama ng'ombe basi hakuna umuhimu wa yeye kuwepo kwenye hiyo nafasi kama unavyojaribu kutuaminisha, anaweza akawekwa mtu yoyote na kufanya hiyo kazi. Mbona Faustine Ndugulile alikataa mambo ya kujifukiza pamoja na kuwa ndio ushauri uliotolewa na boss wake ?

20220929_073601.jpg
 
Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara ifya.

Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa ata raisi, makamu au waziri mkuu.

Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.

Dah yaani mtu kama Dorothy Gwajima mnaweza fananisha na Ummy Mwalimu kwenye section usimamizi wa sectir ya afya.

Like seriously mna amini Ummy Mwalimu anafaa wizara ya kushinda Dorothy Gwajima.

Hilo jambo nakaa najiuliza sipati majibu.

Yaani huyu Dorothy Gwajima hafai kwa Ummy Mwalimu wizara ya afya.

You people deserve what you get

Aisee Dorothy Gwajima kwenye afya ni different level amjui tu.

I still can’t comprehend Dorothy Gwajima for Ummy Mwalimu; Dah
Achaneni na Dorothy Gwajima maana alipoondoka afya alishangilia na kule aliko anashangilia zaidi. Huyu mtu anaishi kwa principles za uzalendo na haki, hakuna alichosahau afya cha kumfanya aje humu kujipigia debe. Huyo mama siyo wa aina hizo mlizozoea kwamba anakitazama cheo kwa jicho ambalo nyie mnalitazama, acheni kujifanya eti hamjui au hamuoni au hamfahamu. Nilidhani mngetumia muda kuomba abaki kule aliko walau mwaka mmoja mwingine asaidie vizazi vyenu kwa majanga yanayoendelea huko ambako wala hamfuatilii ni majanga gani.
 
Gwaji Girl hafai kwenye kiti cha Uongozi anafaa kuwa mtendaji tu.Apelekwe kwenye taasisi kubwa za Afya kuwa Mtendaji Kiongozi atafaa zaidi.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% she is a tenchocrat angefaa kuwa kwenye taasisi inayoelewa mifumo ya afya na namba kusimamia ubora wa huduma, kuliko kuongoza wizara.

Lakini sasa hatuna hiyo taasisi ya kukagua huduma za afya, so wizarani kuboresha huduma ni tegemeo.
 
Badala ya kutumia muda wenu vibaya, njooni mjiunge kwenye jeshi la Kupambana na Ukatili unaoendelea kwenye jamii yetu .
JIUNGE NA WATANZANIA WENGI WALIOJIUNGA KATIKA KAMPENI HURU YA KUPINGA NA KUTOKOMEZA UKATILI NCHINI.

Chini ya Mwenyekiti wake

~ Sospter Mosewe Bulugu

KATAA UKATILI, WEWE NI SHUJAA 💪🏾*
*(Shujaa wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA)
 
Uyo mama hana lolote la maana alilofanya kweny iyo sector ya afya zaid maigizo tu ikwa lipo nitajie ata 1 tu afadhal ya uyo ummi mara 💯
 
Uyo mama hana lolote la maana alilofanya kweny iyo sector ya afya zaid maigizo tu ikwa lipo nitajie ata 1 tu afadhal ya uyo ummi mara 💯
Achaneni na Dorothy Gwajima maana alipoondoka afya alishangilia na kule aliko anashangilia zaidi. Huyu mtu anaishi kwa principles za uzalendo na haki, hakuna alichosahau afya cha kumfanya aje humu kujipigia debe. Huyo mama siyo wa aina hizo mlizozoea kwamba anakitazama cheo kwa jicho ambalo nyie mnalitazama, acheni kujifanya eti hamjui au hamuoni au hamfahamu. Nilidhani mngetumia muda kuomba abaki kule aliko walau mwaka mmoja mwingine asaidie vizazi vyenu kwa majanga yanayoendelea huko ambako wala hamfuatilii ni majanga gani.
 
Kwa kifupi ummy mwalimu ni afisa habari wa wizara ya afya, sio waziri... anaamini kuongea na waandishi kila siku ndio kupiga kazi, ila kiukweli hana uwezo, geajima ndio palimfaa pale...
Umeiweka vizuri as far as she is concerned that’s her role; afisa habari.
 
Njooni mjiunge na Dr Dorothy Gwajima kwenye Kampeni inayoendelea nchi nzima ya kupambana na ukatili kwenye jamii chini ya jeshi la mashujaa la SMAUJATA
SMAUJATA.jpeg
 
Achaneni na Dorothy Gwajima maana alipoondoka afya alishangilia na kule aliko anashangilia zaidi. Huyu mtu anaishi kwa principles za uzalendo na haki, hakuna alichosahau afya cha kumfanya aje humu kujipigia debe. Huyo mama siyo wa aina hizo mlizozoea kwamba anakitazama cheo kwa jicho ambalo nyie mnalitazama, acheni kujifanya eti hamjui au hamuoni au hamfahamu. Nilidhani mngetumia muda kuomba abaki kule aliko walau mwaka mmoja mwingine asaidie vizazi vyenu kwa majanga yanayoendelea huko ambako wala hamfuatilii ni majanga gani.
Namuelewa sana kwenye afya hila sio kwenye social services kwa ujumla.

Kinachoendelea sasa Tanzania na wote tunahabarishwa kuhusu matukio ya ubakaji, kuuana na mambo mengine vita vyake ni sensitive na vina pande mbili. Kuna vita vya wazi na vya siri na silaha kubwa ni media propaga sidhani kama anazo hizo skills.
 
Namuelewa sana kwenye afya hila sio services kwa ujumla.

Kinachoendelea sasa Tanzania na wote tunahabarishwa kuhusu matukio ya ubakaji, kuuana na mambo mengine vita vyake ni sensitive vina pande mbili vya wazi na vya siri na silaha kubwa ni media propaga sidhani kama anazo hizo skills.
uyo Gwajima mnayemsema humu msikilizeni kule aliko anapambana kuokoa watoto wenu toka kwenye Giza nene la ukatili unaofanywa na watu wazima kama nyie. Mwaka jana watoto 11,499 walikatiliwa: ambapo, 5899 walibakwa na 1114 walilawitiwa. 60% ukatili umetokea nyumbani kwenye familia na 40% mashuleni.

Halafu mtu huyu mnasema anaota kurudi afya? Kwa taarifa yenu hana habari hii mama kazi inasonga mbele na wanyonge na nyie jiungeni SMAUJATA mkamsaidie.
 
Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia.

The nonsense of you people is beyond yaani unapigana kabisa ‘Dorothy Gwajima’ aondolewe wizara ya afya kwa Ummy Mwalimu.

Halafu kesho unajinganisha sijui na Vietnam tulikuwa nao sawa majuzi.

Amuelewi tu jinsi Dorothy Gwajima angewasaidia kwenye afya with back up.
Hivi ulikuwa na sababu zipi za msingi za kuanza na lugha kichefu chefu?!

Huo utaalamu wake ni upi?! Yes, she's a Doctor! Doctor gani anahamisha wananachi eti wapige nyungu na kikombe cha Madagascar?!

Alipoingia mtawala mwingine ambae alikuwa na mtazamo tofauti na mtawala wa mwanzo, nae akabadilika kuendana na mawazo ya mtawala mpya!!

Yaani ndo mtaalamu unayemsema wewe huyo?!
 
Back
Top Bottom