Nashauri coach Gamondi atupishe

Jana nilimuona Kibwana anatabasamu walai tena
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkomeeeee mlituzonga zonga sanaaaa
 
mapema mno kumuona hafai,apewe mda nadhani nayeye kaona shida ilipo tunaamini atakuja vizur
Wakati anapewa muda, sisi hatuangalii sura ni kupeleka moto tu. peaneni muda mtajua wenyewe...
 
Malalamiko mengi bila hoja ya msingi. Kuchukua ubingwa mara 4 mfululizo sio kazi nyepesi. Huu msimu kwa vyovyote vile ungekuwa mgumu hata aje kocha gani Wachezaji wamerelax sana, sababu wengi wana makombe sita kibindoni.
 
Maisha yanaenda kasi sana. Juzi tu watu walikuwa wameshajitangazia ubingwa, ghafla leo wanataka kufukuza kocha na wachezaji wooote
 
Malalamiko mengi bila hoja ya msingi. Kuchukua ubingwa mara 4 mfululizo sio kazi nyepesi. Huu msimu kwa vyovyote vile ungekuwa mgumu hata aje kocha gani Wachezaji wamerelax sana, sababu wengi wana makombe sita kibindoni.
Mbona Simba alichukua?
 
Kwanini mnaingia gharama kuajiri makocha iwapo kuna mashabiki mnajua hivi?
Nilitaka kusema kila shabiki WA Yanga ni kocha. Kweli kuna kazi. Hii ndio timu ilikuwa inataka kucheza na Malaika?.
 
Reactions: Tsh
Mlaumuni kwa mechi na Azam lakini hii ya Tabora United wachezaji muhimu wengi walikuwa injury hakuwa na namna
 
Kama unawalipa wewe vile
 
Ila msonda duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…