Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati anapewa muda, sisi hatuangalii sura ni kupeleka moto tu. peaneni muda mtajua wenyewe...mapema mno kumuona hafai,apewe mda nadhani nayeye kaona shida ilipo tunaamini atakuja vizur
Who's this guyWakati anapewa muda, sisi hatuangalii sura ni kupeleka moto tu. peaneni muda mtajua wenyewe...
Simba Bingo.Hehehehe naona sasa mstari umegeuka, wa mwisho amekuwa wa kwanza.
Anyways, Simba Bingwa.
It's Young Africans, Yanga bingwaWho's this guy
Malalamiko mengi bila hoja ya msingi. Kuchukua ubingwa mara 4 mfululizo sio kazi nyepesi. Huu msimu kwa vyovyote vile ungekuwa mgumu hata aje kocha gani Wachezaji wamerelax sana, sababu wengi wana makombe sita kibindoni.Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.
2. Anaua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa
Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam
5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo
Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo
Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
My condolesence mtani😪😪😪😪😪Lia na wanaolia
Mbona Simba alichukua?Malalamiko mengi bila hoja ya msingi. Kuchukua ubingwa mara 4 mfululizo sio kazi nyepesi. Huu msimu kwa vyovyote vile ungekuwa mgumu hata aje kocha gani Wachezaji wamerelax sana, sababu wengi wana makombe sita kibindoni.
Ukichelewa kudhibiti ulevi utapata tabu sana kuacha. Ulevi umeharibu maisha ya wengiBora udhibiti ulevi mapema
Nilitaka kusema kila shabiki WA Yanga ni kocha. Kweli kuna kazi. Hii ndio timu ilikuwa inataka kucheza na Malaika?.Kwanini mnaingia gharama kuajiri makocha iwapo kuna mashabiki mnajua hivi?
Kama unawalipa wewe vileMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,
Napendekeza Gamondi apishe fasta
Gamondi ulikuwa moto wa mabua Sasa makocha wa bongo wamestukia mbinu zake, itakuwA ngumu kushinda
1. Gamondi ni kocha wa mbinu Moja.
Kila siku anakuja na hiyo mbinu ya kupitisha penetration pass,
Ukimbana hapo hafurukuti.
Hataki kutumia winga, amewakataa mawinga wote wote akina Morrison na Jesus Morocco.
2. Anaua vipaji vya wachezaji
Haifanyi rotation
Kibwana beki kiraka anacheza kulia na kushoto
Leo Gamondi hamhitaji
Nkane ni winga,
Wapi akina Farid Musa
Hawezi management ya wachezaji
Kuna wachezaji wanajikuta mastaa hata wasiokuwa kwenye mazoezi laZima mechi wacheze
Lilikuwa jambo baya Diarra kuchelewa national team na kucheza mechi ya derby siku aliyowasili, japo tulishinda
Hii inawashusha morali makipa wengine
Aziz ki amekuwa mlevi na mtu wa kupenda mishangaza ya huko dar es salaam
5. Kocha wa viungo anawapa wachezaji mazoezi Gani?
Wanaumia mno
Mfano Yao. Amekuwa na miguu ya vioo
Nashauri Eng Hersi alete coach mpya haraka sana, laah sivyo tutapigwa na kupigika na vitimu vidogo
Eng Hersi dirisha dogo muondoshe haraka Musonda, huyu mchezaji ameshindwa kubadilika kabisa
Ila msonda duuuMimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga nguli kabisa,

Watu wachawiGamondi hafiki Christmas