Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,425
- 5,227
ngoja tuone kama hawatamavaaHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja tuone kama hawatamavaaHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Ambulence ina msalaba piaKiubunifu kulikuwa na sababu ya msingi kuweka 'msalaba' hapo?
Ni ujinga tu, yaani utadhani alidizaini mtu mmoja chumbani kisha anapitisha wazo na kuziprint yeye. 'Wahariri' wa tshirts hawaluliona hili?
Serikali haina dini ila watu wake wana dini! Tanzania haina dini ila watu wake wana dini! Watu walishatahadharisha mapema tu hapa! Haya mambo ya misalaba kwenye jezi ya taifa sinunui hata Kama Mimi ni mkristo! This is not fair and this is our country View attachment 1051778View attachment 1051779
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Kwahiyo hawapandagi Ambulence maana ina msalaba piaa...Subiri waislamu waje watasema wametengwa kwa sababu wameona alama ya msalaba hapo kwenye jezi?
CC Zero IQ
Aah kumbe ww hujui!imeandikwa kila atundukawe kwenye msalaba amelaania.Jamaa mmoja tulifika mahali tukapumzika, nikashangaa ameamka chaap na kuniambia twende zetu, nikamuuliza nini shida tena??
Akasema chek apo juu, kuangalia kuna alama ya msalaba. Dah nilicheka sana nikamsapoti tukaondoka lakini moyoni najiuliza kwel wanadam tumekuwa waoga sana na kifo sasa msalaba nao kumbe tunapaswa kuukimbia?
Sasa wale wanaotembea nao kwa shingo si wangekuwa wameshakufa muda mrefu??
Tusiwe na imani za kubahatisha tujaribu kufikiri mambo criticaly.
Mm napishana nayo sana lakini haiwezi kuniondoa kwenye ibada na Mungu au kunitisha chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hawapandagi Ambulence maana ina msalaba piaa...
Pia nadhani hawashirikiani na shirika la msalaba mwekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona mengi mkuu thats why nikaandikaKwahiyo hawapandagi Ambulence maana ina msalaba piaa...
Pia nadhani hawashirikiani na shirika la msalaba mwekundu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mama waislamu huwa hawapandi ambulance maana nayo ina msalabaHata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Lakini cha ajabu wapiga kura wengi ni wale wanasema wanabaguliwa na wengi ndio hao hao wanaowapa madaraka hao waliowabagua tangu hiyo unayosema awamu ya kwanza.Nchi hii ina chembechembe za udini toka awamu ya kwanza tena nyie msiokuwa waislamu ndio mna chuki zaidi