Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

Huyo ateuliwe kua msemaji wa maonesho ya nanenane
 
Pascal Mayala amewinda uteuzi huu ni mwaka wa sita kama sio wa saba.Anahangaika hadi anatia huruma sijui ni kwa nini asiwaambie ccm kuwa wasimbabaishe ana nguvu za kulima kama Paulo Sozigwa alivyowahi kuwatamkia wajumbe waliokataa kumpitisha kwa kuwa hakutoa pesa.

Asichoelewa Pascal ni kwamba Swali alilowahi kumuuliza magufuli kuwa kwa nini mhimili wa serikali umechukua madaraka ya mihimili mingine ndicho kinafanya asiaminike na wahafidhina wa ccm.Aende vyama vingine atafune noti za wafadhili kama wenzake,Hawaoni wanapepea nchi nzima full equiped? Unadhani hizo ni pesa za kadi za vyama?
 
Aliwahi kuongoza nini kwa Mafanikio hadi muanze kumpigia debe ?

Kama unampenda Mtu kutokana na Sura yake nenda kanywe naye Chai - JK NYERERE
 
Kama Mayalla ni msema ukweli basi ukweli ni wowote ule duniani.
 
Anastahili sana tu ! 🙏🙏
 
Umenena. !!
 
Naunga mkono hoja ✔️!! Jamaa amepambana san humu kwaajil ya chama. Wamuangalie kwa jicho la huruma!!
 
Mimi napendekeza Lucas mwashambwa
 
Sawa kabisa. Na DED ateuliwe Lucas Mbwa wa Shamba.

Hawa wawili ni chawa bora kabisa kuwahi kutokea duniani
 
HII NAIUNGA MKONO 100%, HUYU JAMAA ANAFAA NA ANA KITU ILA HAJAPEWA NAFASI TU.
ANA HULKA ZA KIJANA WETU ANTHONI MTAKA
 
Naunga mkono hoja.
Apewe Ukuu wa Wilaya ya Mtwara ambayo iko wazi.

Hakika anapambana sana na nina uhakika ataiweza.
 
Huyu Ni msaliti, kasaliti hata waraka wa kanisa lake. Yeye anafikir kwann ulisomwa altareni. Unafikiri Ni Jambo dogo.

Kaisaliti nchi na kasheria kake ka kuunga unga.
 
Kwa hiyo watetezi wa bandari kuuzwa wapewe bonus!

Unachoona wewe Ni ukweli kwa mwingine Ni tofauti. Badili namna yako ya kuwaza.
 
Mwana za masiku 😂 😂

Naona mnapiga mishe mande, hongera sana and all the best. 😂
 
P
P jitokeze huku ikiwezekana beba na namba yako ya simu, vinginevyo tunshtue Lucas🤔
 
Wampe u DED apige pesa tujue moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…