Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
KabisaMkuu huu ubabe wa kunyimana taarifa kuna watu wananufaika nao,
ila uzuri digital age haibahatishi na internet never forgets
Mama akichanganya teule zake na opinion za humu anaweza kuja na combination ya viongozi wazuri walio neutral.
Opinions nyingi za mitandaoni zinatolewa kwa malengo ya vukundi flani,
Ukifuatilia sana mambo ya mitandaoni itakua ngumu kufanya maamuzi binafsi, tutakua tunaongozwa na opinions za watu badala ya maamuzi ya kitaasisi,
Nimeandika kwa lengo jema tu, ushauri huu unaweza usizingatiwe pia.
Dua pekee hazitoshiHii ya jana haitoshi, yaani dua aka kisomo?
LikedWacheni Mama apangue apange timu itakayoendana na Kasi yake ya ukweli
Halafu achukue na ushauri wa Kigogo 14 kuhusu akina Ole Sabaya na wenzake
In order to make right decision you must be informed. Atakuaje informed kama hapitii maoni ya watu wake?Unaweza ukaliweka hivyo na ukaeleweka na baadhi ya watu ila lengo langu ni kumpa muda wa kuwa na maamuzi binafsi yasiyotokana na influence nyingine hasa wakati huu anapoanza kufanya kazi.
Huko mbeleni haina shida ila kwa sasa itamfanya asiwe na misimamo yake binafsi na watu watashindwa kuielewa misimamo yake yeye mwenyewe.
Yaani feedback ya bavicha ndio unaona feedback ya raia? Mitandaoni wamejaa bavicha...
Mmmh sidhani kama itakuwa sawa, urais ni taasisi na sio kila kitu kilichopo mitandaoni hakifai, sometimes kuna issues za msingi tu na sometimes kuna whistleblowers wazuri tu ambao wanaweza kuisaidia taasisi ya urais kuyajua mambo mengi tu.Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe sahihi.
Kwa siku hizi chache hilo ni jambo ambalo nimeona ni muhimu kufanyika na wasaizidi wake.
My few cents.
Huwezi kwenda mbele pasipo kujitazamaIn order to make right decision you must be informed. Atakuaje informed kama hapitii maoni ya watu wake?
Saa 10, hapo kanishangaza. Unalala saa 10 kusoma comments?Rais amekiri kuwa siku ameteua matatibu na wakuu wa taasisi alilala saa nane usiku akisoma feedback za mitandaoni...