Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,459
Afya ya Rais ni muhimu.
Kazi ya Urais ni ngumu,
kiongozi wa nchi halali isipokuwa masaa mchahe sana,
wakati mwingine analala akiwa safarini,
wakati wote kiongozi anapokea taarifa mpya kutoka ndania na nje ya nchi,
Wakati wote atatakiwa kutatua changamoto au kutoa maelekezo,
yamkini asipate muda wa kulala hata masaa ma tatu kwa siku.
watu wa protocal Rais ni binadamu na anachoka kama binadamu wengine,
hivyo ni vema mkamshauri apate mapumziko kwa ajili ya kupumzisha mwili na akili,
Najua Rais akiwa mapumziko bado anafanya kazi sababu hakuna mtu wa kufanya kazi zake,
hivyo mapumziko tunayoyasema ni ya majukwaani, vikao na kazi zingine vinazoweza kusubiri wakati ujao.
Baada ya kikao cha leo mpeni muda wa mapumziko Mh. Rais ni muhimu kwa Afya yake.
Nawasilisha