Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

Kwema wakuu?

Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna polisi. Malori nayo ndio mida Yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.

Kuna siku nimesafiri na basi la Frester kwenda Dar es Salaam, kufika Morogoro usiku kama saa nane, dereva anataka kugonga semi za mafuta sababu anaovetake pia hamna polisi barabarani.

Hivyo hivyo gari la Abood juzi tumetoka Dar dereva anaendesha kwa kasi pia tulilipanda pale mbezi saa kumi na moja alfajiri gari haikufanyiwa service maana ilikuwa inatoka mkoani na watu wanashuka pale Mbezi na sisi tunapanda sababu hawana muda wa service.

Chonde chonde serikali sitisheni hizi safari.
NB: Hata ajali mchana zinatokea lakini chanzo hasa ni madereva kuendesha magari usiku so wanachoka wanakosa focus ya kuendesha mchana na kupelekea kupata ajali
Umetoa maelezo tu lakini hakuna mfano hata mmoja unaoonyesha mabasi yanapata ajali usiku
 
Hao frester hawana madereva bali wahuni
Nilipanda toka mwanza kwenda dar,yule dereva anaovatek hii mitank ya mafuta papo kwa papo,tulipofika morogoro saa 2 usiku,nikashuka nikalala lodge,manake niliona dereva siyo
ilikuwa lini mkuu?
 
Kila ajali Tunasemaga hiyo ni kazi ya Mungu !!
Hata kama Dereva alikuwa mzembe !
Hebu angalia hii halafu atakuja mjinga mmoja atasema uchawi unahusika kumbe wao ndio hawakielewi
Yaani ajali ni kama mashindano vile
Sasa mbona Ulaya hatuoni haya ?
1000021875.png
 
Mleta mada ungekaa tu kimya... Maana ulivyoandika inaonesha huna uzoefu na Safari.
Anyway sijakuelewa. Hoja yako tatizo Ni service au usiku? Maana hueleweki..
 
Izo akili zako za kukariri ,Ili nchi iendelee lazima huduma zipatikane masaa 24.
Benki ziwe wazi 24 hrs
Hospitali ziwe full 24 hrs
Bar 24 hrs
Makanisa 24 hrs
Shule kuwe ni shifti za usiku
Vyuo kuwe na vya usiku
Masoko 24 hrs
Maduka
Tukiacha uvivu tutaendelea
Nchi Haina vita watu wanalala saa 4?
 
Mimi nafikiria kuwa na vipimo vya kupima kama madereva wanavuta bangi ,ulevi na madawa mengine ya kulevya pamoja na kupima utimamu wa akili zao kama hawana afya ya akili ,hivi vipimo ni muhimu kufanyika kabla mtu kupewa leseni ya kuendesha binadamu
 
Kwema wakuu?

Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna polisi. Malori nayo ndio mida Yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.

Kuna siku nimesafiri na basi la Frester kwenda Dar es Salaam, kufika Morogoro usiku kama saa nane, dereva anataka kugonga semi za mafuta sababu anaovetake pia hamna polisi barabarani.

Hivyo hivyo gari la Abood juzi tumetoka Dar dereva anaendesha kwa kasi pia tulilipanda pale mbezi saa kumi na moja alfajiri gari haikufanyiwa service maana ilikuwa inatoka mkoani na watu wanashuka pale Mbezi na sisi tunapanda sababu hawana muda wa service.

Chonde chonde serikali sitisheni hizi safari.
NB: Hata ajali mchana zinatokea lakini chanzo hasa ni madereva kuendesha magari usiku so wanachoka wanakosa focus ya kuendesha mchana na kupelekea kupata ajali
Madereva wetu ni vichaa hawana ustaarabu ikifika usiku
 
Mkuu Siku Yako ya kufa ikifika imefika TU hata ukisafiri mchana. Kwani wewe unadhani hao madereva wanapenda kufa.
 
Hebu angalia hii halafu atakuja mjinga mmoja atasema uchawi unahusika kumbe wao ndio hawakielewi
Yaani ajali ni kama mashindano vile
Sasa mbona Ulaya hatuoni haya ?
View attachment 2828938
Inasemekana mabasi mawili yalikuwa yanafukuzana mpaka hapo kwenye njia ya Treni yule aliyekuwa mbele kidogo aliwahi kupita huyu wa Ally’s akachelewa kidogo ndio akakutana na hiyo dhahama !!
Jiulize ipo haja gani ya kufukuzana ilihali wote wamejaza abiria ??!!
 
Lakini umesema inasemekana which means yr not sure!
 
Mkuu Siku Yako ya kufa ikifika imefika TU hata ukisafiri mchana. Kwani wewe unadhani hao madereva wanapenda kufa.
Hahahahahah hayo ndio majibu mepesi kwenye maswali magumu !!
Vifo vingine vinatokana na uzembe !!
Panda ghorofani ujiachie mpaka chini useme siku imefika !!😅😅😅🙏
 
Hahahahahah hayo ndio majibu mepesi kwenye maswali magumu !!
Vifo vingine vinatokana na uzembe !!
Panda ghorofani ujiachie mpaka chini useme siku imefika !![emoji28][emoji28][emoji28][emoji120]
Kwa hiyo Ili kudhibiti vifo yapaswa kushughulikia uzembe na si safari za usiku, tupo pamoja bro.[emoji38]
 
Kwema wakuu?

Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna polisi. Malori nayo ndio mida Yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu.

Kuna siku nimesafiri na basi la Frester kwenda Dar es Salaam, kufika Morogoro usiku kama saa nane, dereva anataka kugonga semi za mafuta sababu anaovetake pia hamna polisi barabarani.

Hivyo hivyo gari la Abood juzi tumetoka Dar dereva anaendesha kwa kasi pia tulilipanda pale mbezi saa kumi na moja alfajiri gari haikufanyiwa service maana ilikuwa inatoka mkoani na watu wanashuka pale Mbezi na sisi tunapanda sababu hawana muda wa service.

Chonde chonde serikali sitisheni hizi safari.
NB: Hata ajali mchana zinatokea lakini chanzo hasa ni madereva kuendesha magari usiku so wanachoka wanakosa focus ya kuendesha mchana na kupelekea kupata ajali
Siyo kweli,, Nchi imefunguka wala hawakimbii,, Hii imesaidia Kwa sisi wafanya biashara... Sisi Kila Siku Tupo barabarani..ajali Nyingi Ni uzembe wa miundombinu
 
Lindi huko kuna basi imeondoka na watu 14 na haikuwa usiku,

Mimi bado naona tunakwamisha maendeleo kuzuia usafiri wa usiku wakati wenzetu wanakuwa na ajira mbili kwa wakati mmoja na wanafanya kazi hadi masaa 18.

MImi nimemaliza shughulinzangu dar saa 12 jioni unanizuia nisiende dodoma usiku naishia kulala na badala ambayo asubuhi ningekuwa dodoma nafanya issue nyingine naishia kuwa barabarani.

Nia sahihi ni kuboresha ufuatiliaji kama vile madereva wazembe na kuweka checkpoint n.k
 
Back
Top Bottom