Nashauri somo la physics liwe option kuanzia form one, mathematics liwe option pia

Mkuu mimi napingana na Sunak pia ila nakubaliana na wewe

Hesabu ni muhimu kwa kila mtu hata hao uliowanadi inawasaidia kujua wana ngapi zimeingia na ngapi wametumia, sio lazima wazijue hesabu za kufanyia kazi

Sijajichanganya mkuu na nimeelewa vizuri
 
Physics, Chemistry, Biology, Mathematics the best subjects ever! Dunia iko hivi ilivyo because of those subjects. Taifa lolote linalojitambua litaweka mkazo kwenye hayo masomo unless we want to be followers forever!
 
Nimeeleza vizuri basic mathematics inatosha kabisa kwa mtu ambaye hana mpango wa kuendelea na technical, technoloy au science education
 
Mawazo yako yapo ofisi za makatibuu wakuu lkn yanafanywa kuwa SIRI
 
Hayo unayo tamani yawe option ndio masomo yanayotawàla dunia,ila kwa kuwa mvivu,kwako yawe option ila kwa maslahi ya taifa yawe lazima hata itolewe ruzuku kuyaenzi na kuyaendeleza,🤔
 
Tutailaumu serikali kwa sababu ndiyo ina mamlaka ya kupeleka wanafunzi kuendelea na shule.

Serikali imeshusha ufaulu kwa makusudi ili malengo yao kisiasa yatimie.

Wazazi nao walaumiwe kwa kuzaa watoto wengi bila uwezo wa kuwagharamikia kupata elimu iliyo bora.

Hivi sasa ni mtu anazaa afu anasubiri serikali imsomeshee bure

Tanzania itakuja kuwa na taifa bovu sana huko mbeleni, makahaba,majambazi watakuwa wengi sana.

Ni muda serikali ianze mipango ya kuweka usalama kwani kuna bomu linatengenezwa
 
Hatuwezi kuwa taifa zima la coding, itafikia wakati coders watakuwa obsolete
 
Hayo unayo tamani yawe option ndio masomo yanayotawàla dunia,ila kwa kuwa mvivu,kwako yawe option ila kwa maslahi ya taifa yawe lazima hata itolewe ruzuku kuyaenzi na kuyaendeleza,🤔
Mkuu hayo unayoyasema yamefanyika kwa zaidi ya 65 yrs mpaka leo hatujawahi kufanya jambo lolote la kushangaza
huko Qatar, Saudia, hizo kama wanasoma ni kwa uchache ila wameendelea.
England ilifanya program yakuwa inawachukua watu wenye uwezo mkubwa (walikuwa wachache) wanaishi kwenye royal family na wanapewa hadhi inayostahili ndio wamekuwa sehemu kubwa ya mapinduzi ya viwanda.
Tanzania watu wenye uwezo mkubwa kwa hayo masomo wapo akiwepo na mtaalam Elias Kihombo(RIP) lakini hakuna value yeyote waliyoadd kwa sababu mfumo hauwatambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…