Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kila nikiangalia mtu wa kuziba pengo la msomi wetu Dkt Ndugulile pale WHO namuona Paul Makonda tu.
Kutokana na "uchapakazi" wake akiwa mkuu wa mkoa pamoja na uwezo wa kuongea mbele za watu nashauri huyu ndo akawakilishe taifa huko WHO kama Mkurugenzi
Pia kwa kuwa tulihakikishiwa kuwa vyeti vipo na ana elimu ya kutosha kiasi cha kuwa mkuu wa mkoa, kiukweli kwenye nchi hii ya watu Milioni 60 sidhani kama kuna mtu mwingine yoyote qualified zaidi yake
Makonda ni muda wako sasa wa kupeleka vyeti ili upate nomination pale WHO na uweze kwenda kimataifa.
PIA SOMA
- Paul Makonda kuchukua nafasi ya Ubunge kigamboni na kupewa Uwaziri baada ya Faustine Ndugulile kuchaguliwa WHO?