Haijaondolewa, ukitoa ATM zaidi ya 30,000 tozo ZIKO pale pale.Kauli moja ya Mbowe imesababisha Tozo ya benki kuondolewa.
Mdomoni mwa mwovu usitegemee ulimiwake kutoa barakaš š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijaondolewa, ukitoa ATM zaidi ya 30,000 tozo ZIKO pale pale.Kauli moja ya Mbowe imesababisha Tozo ya benki kuondolewa.
Mkuu PHYLOSOPHER, naunga mkono hoja, Tanzania hatuna kabisa any serious opposition wa kuiondoa CCM madarakani, Ila kwa vile hivi vyama vilivyopo vipo kikatiba na kisheria hatuwezi kutafuta bali unaweza kuviua kwa kutumia kitu kinachoitwa succumb, yaani unavikaba mpaka vife!Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.
Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.
Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.
Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.
Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.
Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.
Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.
Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.
Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
Kalaghabaho! Ili uweke??Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.
Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.
Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.
Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.
Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.
Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.
Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.
Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.
Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
Mbona hata sasa hivi ccm iko peke yake yaani inafanya inachokitaka bila woga wala nini.Nadhani ni rahisi sana kufuta upinzani kuliko kufuta ccm kama utakuwa mhalisia ukifuta upinzani ccm itajikuta Iko peke yake hivyo itailazimu kuibeba lawama za shida za wananchi, manung'uniko ambayo yanaweza kuzalisha moyo wa harakati za kudai mageuzi makubwa.
Umeongea vizuri sana mkuu.Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita.
Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja.
Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kidemokrasia nje ya vyama vya upinzani vilivyopo sasa.
Kwa maoni yangu vyama vya upinzani vilivyopo sasa vinatumika tu kama rubber-stamp ya kuhalalisha kuwa nchi yetu ina upinzani kwa manufaa ya ccm.
Hata tukisema tunataka katiba mpya bado huo mchakato utahodhiwa na ccm Kwa kuwa ndiyo inayohodhi system nyingi.
Ukisha futa upinzani utaibua vuguvugu la upinzani lisilo na sura ya kichama lakini lenye sura ya kiharakati ili liwe na uwezo wa kuabsorb ajenda zote zitokeazo njiani.
Upinzani uliopo sasa umeishiwa maarifa ya kupambana na ccm na kuzidiwa mbinu na ccm Kwa mbali sana.
Kivyovyote iwavyo ili kuibua kundi litakalo aminiwa na raia kwamba wanaopigania maslahi ya wananchi basi lazima hilo kundi litokane na harakati.
Nilipowasikia chadema juzi nikawashangaa eti wanaomba ridhaa ya kufanya siasa Toka Kwa serikali inayoongozwa na ccm. Hii ndio dalili ya wazi kwamba tunahitaji aina mpya ya kudai mageuzi.
Mkuu PHYLOSOPHER, naunga mkono hoja, Tanzania hatuna kabisa any serious opposition wa kuiondoa CCM madarakani, Ila kwa vile hivi vyama vilivyopo vipo kikatiba na kisheria hatuwezi kutafuta bali unaweza kuviua kwa kutumia kitu kinachoitwa succumb, yaani unavikaba mpaka vife!
Baada ya kuisoma hoja hii kwenye jarida la The Economics The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja nilimshauri Blaza tuifute ruzuku, vijifie natural death Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
P
Mkuu ni muhimu sana katika taifa kuwa na upinzani na ushindani madhubuti ili kuwafanya walioshika madaraka waone kwamba hawako peke yao. Ni sawa na timu ya mpira kukiwa na wachezaji wawili wenye viwango vinavyokaribiana kwenye namba au nafasi moja inawafanya wajitume mpaka kiwango Chao Cha mwisho ilimradi wasikose namba jambo ambalo hugeuka kuwa faida Kwa kocha timu na hata mashabiki.Kwanini? Kwa nini watu wanauliza upinzani mkubwa? Kwa nini watu wanauliza mageuzi? Je! CCM ilifanya nini vibaya?
Kila chama cha siasa ulimwenguni ni mafisadi. Wachache hutoa juu ya masilahi ya taifa.
Ondoa shaka mkuu mageuzi sio lazima yafadhiliwe na mtu. Mageuzi ni uamzi wa watu wanapochoka kutawaliwa na kuongozwa na mifumo ya kidhalimu. Watu hao wakichoka wakaanza kulalamika na kuchukua hatua mbali mbali za kuwahamasisha wananchi kuukataa huo udhalimu, hapo ndipo huzaliwa vuguvugu la mageuzi.Tumezingatia Mashariki ya Kati? Au, Ukraine? Watu wanajua jina 'mapinduzi ya rangi'?
Kwa nini tunataka chama kikali cha upinzani? Je! Watu wana ndoto gani nzuri?
Ni nani anayefadhili harakati za mageuzi? Je! Ni NGO kutoka Ulaya au Amerika? Niambie, ninahitaji kufahamishwa.
Wazo la katiba mpya ni wazo tamu sana kulitaja mdomoni isipokuwa ikiwa katiba mpya itaandikwa sasa katika mazingira ambayo ccm inahodhi Kila kitu huenda tukapata katiba mpya kitabu lakini maudhui yaleyale au ya hovyo zaidi...tatizo ni Ccm, sio upinzani.
..suluhisho ni KATIBA MPYA itakayotoa haki sawa kwa vyama vyote.
..actually tunatakiwa tuwe na mfumo demokrasia ya vyama vingi , na sio mfumo wa chama tawala dhidi ya vyama vya upinzani.
..ukiielekeza akili yako kuamini kwamba tunapaswa kuwa na VYAMA VYA SIASA, na sio " upinzani" dhidi ya "watawala" utakuwa umejikomboa kimtizamo na utapata majibu sahihi kwa maswala yanayokusumbua.
Hayo madai ya chadema ni madai magumu sana ndugu Kwa kuwa nguvu yao ni ndogo. Na hata serikali ikiwasikiliza na kukubali mchakato wa mabadiliko ya katiba mpya uanze bado hatutapata katiba unayoidhania. Hebu rejea mchakato uliokwama, si unakumbuka walilazimika kutoka nje na kuisusia ccm iendelee na mchakat? Na walisusa baada ya kuona hoja kandamizi kwao zinawekwa na wao hawana uwingi wa kura kuzikataa.Ndio maana chadema wanadai katiba mpya. Yani katiba iliyopo ni ya chama kimoja ndio maana Rais anaamua kufuta mikutano ya hadhara kwa miaka Saba na hata ukifika muda wa uchaguzi mkuu bado wagombea wa upinzani wanaenguliwa.
Shida ni ulafi, na ubinafsi wa viongozi wa vyama pinzani,kama Mbowe amepoteza weledi.Najaribu kujiuluza ikiwa tuna upinzani kwa zaidi ya miaka 30 sasa na kwa upepo unavyoenda ni kana kwamba ccm wanazidi kujidhatiti unadhani ni mbinu gani itatumika kuilazimisha ccm iruhusu wapinzani wafanye siasa?
Kwangu mimi miaka iliyopita hasa kwenye utawala wa awamu ya nne ndiyo ilikuwa fursa bora sana ya kujenga upinzani na kuukuza bahati mbaya ni kwamba hiyo fursa ilipotea hivihivi.
Kama tukienda Kwa utaratibu uliopo sasa itatuchukua miaka mingi sana Hadi kuujenga tena upinzani ili walau ufikie kiwango tulicho kidhuhudia awamu ya nn.
Yapi tuna upinzani dhaifu sana ambao hautabiliki hilo nalo limewafanya wananchi kukata tamaa sana unakuta mmemwamini mtu mmempigania akashinda uchaguzi badae anasema naenda ccm.Hivi tatizo ni upinzani?Hivi ulivyorefuka hivyo viungo vyote vya mwili mpaka leo hujui tatizo ni nini?Subhanallah!
Ndugu msingida usijekudhani katiba mpya litakaa Baraza kuu la chadema litaiandika alafu kesho inapitishwa. Huo ni mchakato ambao Kwa mazingira yaliyopo leo bado ccm watahodhi Kila kitu. Tunahitaji kurudi kwenye harakati ili kuongeza hamasa na uelewa kwa raia wa kawaida ili kuongeza upeo wa watu kuhusu haki za kiaraia.Katiba mpya ipatikane,nafasi ya ccm itajulikana
Wala usidanganywe na kujidanganya hili jambo lilishakuwa mwiba Kwa ccm wenyewe kama mbowe amehusika basi amehusika kama mlalamikaji wa kawaida tu kama mimi na wewe.Kauli moja ya Mbowe imesababisha Tozo ya benki kuondolewa.
Rudia tena kusoma nilichoandikaHuwezi kuwaacha CCM ambao ndio chanzo cha upinzani kudidimia, halafu unataka viundwe vyama vipya vya upinzani viendelee kuwepo na CCM, navyo vitakuja kuwa havina maana iko siku utarudi hapa utake vifutwe tena.