Nashera Hotel yawekwa sokoni, nini kimeikumba?

Morogoro hapo zamani ulikuwa mji wa starehe, watu walikuwa wanakwenda toka Dar. Ijumaa na wanarudi Jumapili, kufa kwa bendi za muziki kuliashiria kufa kwa mji wa Morogoro na hivi sasa ni mji uliojaa wezi na vibaka, hakuna anayekwenda huko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati nikiwa advance, kuna likizo ndogo nilienda kujifungia hapo, shule wanajua niko home, na home wanajua niko shule.

Woiiiiiih!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wamepatwa na nn had wanauza? Lol
Nani alikugharamia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliitunza pocket money ya miaka 6 ndo nkaenda kutaliii hapo.
Umeanza? Yamepita hayo. Kila kitu na wakati wake. Bora wewe kuliko wanaokwenda wakiwa na majukumu ili Kufidia walichokikosa wakiwa vigori, mwisho wa siku wanaonekana machizi
 
Nimecheka had baas, hamna mtu ukijitafuta na ukijipata unaenda kutalii sehem ambayo hata ukimaliza savings unasema aaah tunaishi mara 1
 
Wadanganye wa juzi! Hata mtoto wa Mo au Samia hawezi fanya hiyo kitu bila msaada wa wazazi au sponsor siye. Tuyaache maana siku hizi marufuku kutuma hela kumbuka
 
Wanaweza, labda sio vipaumbele vyao!! Afu huku mwshoni sijaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…