Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Morogoro hapo zamani ulikuwa mji wa starehe, watu walikuwa wanakwenda toka Dar. Ijumaa na wanarudi Jumapili, kufa kwa bendi za muziki kuliashiria kufa kwa mji wa Morogoro na hivi sasa ni mji uliojaa wezi na vibaka, hakuna anayekwenda huko.Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May 27.
Wataalamu wa sekta, Nashera imekumbwa na nini au ameamua kuuza akaangalie usawa mwingine?
Pia, soma=> Hali ikiendelea hivi, Nashera hotel nayo itafungwa!
View attachment 2980825