Nashindwa kuelewa, hapa kuna upendo kweli au napotezewa muda?

Una date na singo dadii eeh? Singo mamii ake yuko wapii?
Em achana na hilo furushi, maisha mafupi haya, Lol
Poleee
 

Je, umewahi fanya jambo gani la kutisha ulipopata hasira?
 
Yaani babu kwanza tuko mbali mbali sasa huo muda wa kuanza kutekana unatoka wapi mnaweza kukutana mara 1 kwa miezi hata mitatu.
 
Sio wote wako hivyo mkuu, wengine alili za kusaka pesa wanazo, kutumia nyuchi ni uvivu wao tu.
 
Sitoi ushauri bila kuona picha yako na picha yake kisha ndio nitakupa jibu kua nyinyi mnaendana au hamuendani ila mna-force nyege, hivi Dar hakuna wanaume wakukukata utepe mpaka uhangaike na hilo lidungulu la huko maporini linalopambana na ng'ombe?
Wapo wengi tu, mkuu ni vile moyo ulimpenda yeye wa mbali
 
Sio wote wako hivyo mkuu, wengine alili za kusaka pesa wanazo, kutumia nyuchi ni uvivu wao tu.
Mwanzoni inakuaga hivyo ila mwishoni wanavuaga Chupi fuatilia Wanasiasa wa Kike na ushuhuda wanao na nyuzi zipo mpaka humu soma, ninakwambia uhalisia sio story za kutunga mtu kakimbia nyumba huku kakopa mamillion kaacha mpaka watoto wake wa kuwazaa kisa anakimbia watu wanaomdai na mume hana unafikiria nini kinachofuata km sio kugawa Chini ili aweze kulipa madeni? Point yangu uielewe vizuri hapo
 
Wapo wengi tu, mkuu ni vile moyo ulimpenda yeye wa mbali
Hapana utakua una kasoro sio bure yaan ndonga zote zilizojaa Dar hizi zingine ni wewe tu kupanua na kupigishwa deki unaparangana na lidubwana korofi limejichimbia huko kila siku linajumua vitoto vya 2000 na kuvikaza bila wewe kuona kisha umekomaa moyo ulimpenda yeye ndio maana anakufanyia vimbwanga vya ajabu ajabu ili kila mtu ale sahani yake na wewe tafuta mtu Dar akukaze umepungukiwa nini huna mvuto?
 
Yaani unataka kutamatisha ya kuwa mwanamke hawezi kujitegemea na kua na kipato chake halali bila kuuza mwili??
 
Girls absolutely DO NOT follow this silly advice!

Stop sleeping with a useless boyfriend! ! ! Don't even start. All you'll be getting is trauma, bad memories and a bad name! !

How to know your boyfriend is useless: HE'S NOT MARRYING YOU! ! !

COME TO JESUS, You don't need to take your pants off to get Love here! !
 
Yaani babu kwanza tuko mbali mbali sasa huo muda wa kuanza kutekana unatoka wapi mnaweza kukutana mara 1 kwa miezi hata mitatu.
Hata hiyo mara moja unaweza kuitumia vizuri tu kumteka huyo baby wako

Nakumbuka Mwaka 47 nilitokea kutekwa na mrembo mmoja hivi, akafanya niwe napanda Ndege kumfata maili kadhaa kwaajili yake.

Mwanzoni ilikuwa tunaonana mara moja Kwa Mwezi, baada ya kutekwa naye nikajikuta nasafiri mara nne Kwa Mwezi kumfuata.
 
Duh! Babu wewe ulikuwa hatari, lakini mtu kama hakupendi hata ukionyesha juhudi za kumteka hatekeki
 
Hakuna binadamu asiye na kasoro mkuu. Mimi sihitaji mtu wa kuchezeana naye, nilihitaji serious relationship ndiyo maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…