Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
msukule huwa haongei, hukatwa ulimi.Ungempa interview ya matukio yaliyotokea na imekuwaje yuko pale wakati alishafariki huku una record, tungeweza kuamini kidogo lakini tungeweza kusema video yako ni ai au chai , story yako inatufanya tujiulize zaidi kuhusu wewe kama uko sawa kichwani
Kwamba huyo binti kipindi hiko ujaanza chuo ndio huyo huyo aliyetajwa na huyo jamaa? Je jamaa amekutajia kama mtu aliye hai au amefariki ?Siku moja niliona kwenye Group la chuo mtu akipost picha wakitoa pole kwa msiba wa mwanafunzi mwenzetu kufariki(msiba ulitokea kabla sijajiunga). Sikujua kama alifariki yule dada, nikazama PM kwa mshikaji wangu kumpa pole kufiwa na demu wake wa chuo. Jamaa akanijibu ndio hivyo aliugua akafariki.
Mwaka jana nilikutana na mshikaji mmoja anafanya kazi ofisi ya marehemu. Tulikuwa kampani, mtu mmoja akaonyesha anahitaji msaada kwenye ile ofisi. Jamaa akimpiga simu akitaja majina ya yule dada marehemu. Nikashangaa, nikamuuliza vizuri, akataja sifa zote za yule dada akanionyeeha na picha kujiridhisha kama ni yeye.
Mpaka leo sijawahi kujua nini kilitokea.
ningekufundisha huo mti, sema wew unaonekana utawakomoa watu tu.Ningetamani utaje huo mmea, kuna mtu humu anataka kunizoea
Toeni elimu wakuu na hii itasaidia hata kupunguza haya mambo yakiwa waziningekufundisha huo mti, sema wew unaonekana utawakomoa watu tu.
Mti huo unaufaham vizur kama umekulia usukuman, huota kweny kichuguu mara nyingi.
Siwezi, hebu niambie ukoje? Unaitwaje?ningekufundisha huo mti, sema wew unaonekana utawakomoa watu tu.
Mti huo unaufaham vizur kama umekulia usukuman, huota kweny kichuguu mara nyingi.
mambo hiz zipo nashangaa watu wanapinga.Siku moja niliona kwenye Group la chuo mtu akipost picha wakitoa pole kwa msiba wa mwanafunzi mwenzetu kufariki(msiba ulitokea kabla sijajiunga). Sikujua kama alifariki yule dada, nikazama PM kwa mshikaji wangu kumpa pole kufiwa na demu wake wa chuo. Jamaa akanijibu ndio hivyo aliugua akafariki.
Mwaka jana nilikutana na mshikaji mmoja anafanya kazi ofisi ya marehemu. Tulikuwa kampani, mtu mmoja akaonyesha anahitaji msaada kwenye ile ofisi. Jamaa akimpiga simu akitaja majina ya yule dada marehemu. Nikashangaa, nikamuuliza vizuri, akataja sifa zote za yule dada akanionyeeha na picha kujiridhisha kama ni yeye.
Mpaka leo sijawahi kujua nini kilitokea.
Hahaha huyo mshtaki tu polisiNingetamani utaje huo mmea, kuna mtu humu anataka kunizoea🤔
Uenda nikawa na tatizo ilo maana sielewi na sijawahi kuwa na mawazo yeyote juu ya uyu mama au la. maana naona kama ni mauzauza tuKuna ugonjwa wa akili unaitwa Schizophrenia.
Ugonjwa huu huusisha kusikia sauti na kuona viumbe ambavyo kiuhalisia havipo.
Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.
Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others.
Schizophrenia - Wikipedia Schizophrenia - WikipediaView attachment 3558759
hapana dawa ya huo mti sio nzuri, kwan mtu akitaka kufanya ubaya kwa ushirkina hujipaka mkonon ili asionekane yey katenda.Toeni elimu wakuu na hii itasaidia hata kupunguza haya mambo yakiwa wazi
kaseme mti wa mwicha/muegea pande nne za dunia.Toeni elimu wakuu na hii itasaidia hata kupunguza haya mambo yakiwa wazi
jina siufaham ila majan yake yanakua kama yamejifinyafinya hv...Siwezi, hebu niambie ukoje? Unaitwaje?
🚮Nashangaa mnavo mpinga mtoa mada.
Na kumwambia ana ugonjwa wa kiharusi, kuwa anaona maluweluwe.
Kwanza hebu fkilien mda wa msiba ni miez 7 imepita na tukio kaona sasa.
maluweluwe hutokea kipnd cha msiba.
Haya mambo yapo mbona, nimeshuhudia watu watatu mpaka sasa, walizikwa zaman.
Na wakaonekana tena
Na mara nying watu wanaopinga hakuna uchawi wao hua ni wachawi, wanataka watu wasielew kuhusu uchaw na wasijikinge