Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Thanxs mkuu,
 
Reactions: Mbu
Ukiamua kumsahau inawezekana kabisa ni kiasi cha kufuta namba yake na kuwa busy na mambo yako, vinginevyo labda kama bado unampenda ndiyo utaendelea kuhifadi namba yake.
 
Matumizi mabaya ya hisia
 
Kama umeamua kuachana nae, mpe moyo wako mwingine na vile vile mwambie ukweli kuwa jamaa bado una hisia naye, atapata wivu na kukunyima nafasi hata ya kumfikiria
 
Mpendwa fanya chapu kwa haraka ili tujue jinsi ya kumshauri huyu sio aliyetutukana kwenye ule uzi tulipomshauri achane na huyo Mwanaume akatujibu baadhi ya members hamuachi huyo jamaa[emoji23][emoji23]akaandika ni mama kijacho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo huyo

We ni noma asee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo huyo

We ni noma asee

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ule uzi alituchamba tuliokuwa tunamshauri tofauti na mawazo yake ningejua jinsi ya kuweka uzi ningeuweka ili watu wasisumbuke kumshauri apambane na hali yakeπŸ˜•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…