Nashindwa kupenda mtu mwingine

Sema kwanza ulimfanya nn mtoto wa watu.....ndo tukupe njia za kurudiana nae

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 

kwani ukiwa unapiga simu wewe kila siku unakufa wakati mwingine unaachana na soulmate wako kijinga vitu vingine unaacha uende .. hata sisi wadada tunapimaga upendo tunapiga kimya week tuone kama kweli una nia ama mzugaji
maana siku hizi wahuni ndo wanajifanyaga wako romantic sana sms, calls kila saa kumbe wanakulia target
Ukimtafuta wewe kila siku hupungukiwi chochote
 
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote.

Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu?? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi?
Mbona hizi sentensi zinakinzana?
ya kwanza umeshafanya maamuzi ya pili unaomba ushauriwe cha kuamua
 
Mwenyew nmepitia situation kama yako...sema tofaut wangu huwa hata tunaonana...nlijaribu kum please akakataa bac na mimi nkaamua kupiga kimya cha ajabu ss iv yeye ndo anatafuta namna ya kuwasiliana na mm kwa kutuma msg kama amekosea kutuma ila nmeshaelewa lengo lake kwa hyo namkazia tu wala sijubu...ushaur...unavyoendelea kumsumbua ndo unamuweka mbalii..we piga kimya hata mwaka kabxa...utaona na yy anaanza kukutafuta
 
Ni utoto tuu, napia huna majukumu mengi siku ya kikuandama utamsahau huyo X na utakutana na mwingine utaanzisha safari mpya yenye tumaini jipya br.
 
Ni utoto tuu, napia huna majukumu mengi siku ya kikuandama utamsahau huyo X na utakutana na mwingine utaanzisha safari mpya yenye tumaini jipya br.
 
Hamn kitu Kam icho unapima nn wakat kweny mahusiano tumeshakuw na mazoea ya kutafutana kwa wakat wowot Kila unapojickia kuwacliana na mwenzio, bila kujal Kam kwa cku Kam amekutafuta au hajakutafuta, mmoja wpo akishaanza kukufanyia yupo busy iloni tatzo ndo chanzo Cha mengi hapa mapenzi co utumwa
 
Huo ndio uzuzu. Hakuna jambo ambalo linashindikana ondoa hiyo mentality kwenye kichwa chako. Kila mtu au asilimia kubwa ya watu wanakipitia Hiki ambacho unakipitia. Songa mbele usiendeshwe na hisia
 
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…