Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nashindwa kupenda mtu mwingine

Nimebreak na mpenzi wangu tuliependana Sana baad ya kuwa na distance kdgo nkaona Mambo hayaelewek hapigi cm had nmtafute mim inshort Mambo yakawa mengi, nkaona hap red light tayal nkakaa kando nlivyo mkaushia huwez amini alikaa wiki mbili ndo akanitafuta, nikatafuta pis nyingine maisha yakaendlea
 
Una miaka mingapi ndugu?hivi miaka hii unadata kwa jitu mmekutana nalo woote mna meno 32? Hujui thqmani yako wewe
 
Wengi mnacheka kwa kumdharau "je? hamjui kwamba karma ain't a bit*h?" Aliimba mwana mmoja kuwa mwana haramu hazaliwi ila hutengenezwa na dunia,,, huyu mtu aki ignore and overide " poor unfortunate souls" za watoto wenu, dada zenu, wadogo zenu wa kike zitalia kilio kikuu wakikutana na huyu mwamba when his beast and savage mode is on ,, wengi mnachofanya ni kumwambia dogo " eye for an eye" when it backfire kuna watu watajuta
 
Always huwa Nina waambia vijana wenzangu -. Katika mahusiano ya kimapenzi Kuna mstari mwembamba sana unao tenganisha baina ya Upendo/kupenda na ujinga , ukishindwa litambua Hilo you're doomed
Vijana wengi wamevuka mstari wa upendo, wamekuwa mabolizozo.
 
Ku move on sio kitu rahisi ndugu. She's perfect in every way ndio maana inakua ngumu kupenda mwingine.
'She's perfect in every way' halafu hayupo tayari kukusikiliza na kukusamehe. What kind of perfection are you referring to? Na je, ulimfanyia jambo gani baya kiasi cha kukasirika kwa kiwango hicho?
 
Sijawahi, siwezi na naamini sitaweza kuja kubeg to be loved or to remain with someone they dont want to stay with me.

Hata kama atarudi ila unajitaftia majuto ya baadae..!
 
Back
Top Bottom