Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nishamuambia, ajifunze kuficha madhaifu ya mwenza wake.Punguza ukali wa maneno mkuu. Hasira zisikupelekeshe mpka ukavuka mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua five [emoji2935][emoji122]Acha kujificha ktk kivuli cha ndotoni, ungekuwa mwanaume mwenye akili timamu ungelizungumza na mkeo au kuweka msimamo wako bayana juu ya namna ya kuhandle maisha yenu ndani, kutenga budget na kumjuza ahakikishe inatumika ndani ya muda fulani siyo kupelekwa na mihemko.
Ulichoandika hapa kimekuvua nguo, wanaume wanaojitambua huwa washajua wakioa familia zao wataziendeshaje, sasa wewe sijui ulioa kwa kichwa cha chini au cha juu.
Hebu jifunze kwa wenzio maana unatia aibu, ptuuuuu.
Hakika mkuu! Kuwa na akiba ya maneno nayo busaraNishamuambia, ajifunze kuficha madhaifu ya mwenza wake.
[emoji117]Kuna Leo na kesho
Mmm una uhakika? Mbona maneno makali sana.Tena huwezi amini nilimfwata kwao kipindi namuoa nikamkuta kachakaa, nywele hazijawahi kuoshwa wala hana nguo mpya, kachanganyikiwa kama mwehu leo hii alete ujinga, karudi kwao akaokote makopo kama nilivomkuta kule, kaka zake wote vibaka kajisahaulisha leo wakuniletea zarau? Mke gani kila wakati anazungumza na baba yake mpaka usiku wa manane,
Kuna mama mmoja kanambia ukoo wao wanawake wanatabia ya kulala na baba zao kimapenzi, kanambia mwanangu kaa mbali baba yake atakuwa analala nae mana anawajua
Jomba kaachwa ana kuja na maneno ya kujipoza😂🤣Mmm una uhakika? Mbona maneno makali sana.
Walikuwa wanaenda kula KFC.Yaani peke ako unatumia 10k per day alafu we na mkeo per day mlikua mnatumia 60k mlikua mnakula nini au mnakulaje?
Hutaki kutumia 700 🤣😂😂😂
KFC ya mbinguni au sio🤣😂😂Walikuwa wanaenda kula KFC.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23] mia saba itanipasua kichwa mkuu.Hutaki kutumia 700 [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah nihurumie 🤣😂😂
[emoji23][emoji23]ongeza iwe 1400/Dah nihurumie [emoji1787][emoji23][emoji23]
Nitapotea katika Raman😂🤣🤣🤣
Acha uchoyo na ubahili mwanaume hakwepi majukumuKwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni.
Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu tayari.
Nikawa na hali ngumu sana pesa zinayeyuka mara leo nyama, mara kesho kuku, mara nitoe out takataka kibao kiasi kwamba laki tatu ndani ya siku saba imeisha.
Nikaomba ushauri kwa wanaume wenzangu wakanishauri ujinga kwamba sitaki kuhudumia huku napiga hesabu naona kabisa 1Million inaisha kwa wiki mbili kwangu ilikuwa kama msiba mzito kuteketeza 1Million ndani ya wiki mbili kwenye matumizi ya kisenge eti tu nifuge mbunye wakati sabuni na wese lipo.
Juzikati nikachukua uamuzi mgumu nikamuigizia mke kama mimi nimekuwa fukara, nikagoma kununua chakula akaumwa njaa siku mbili, yatatu akadanganya wazazi wamemuita kabla hajamaliza kutamka nikampa nauli.
Kesho yake asubuhi akaondoka e bwana we tangu ameondoka pesa zangu sasa zinapumua.
Nimejikuta natumia elfu 10 tu kwa siku badala ya elfu 60. Alhamdullah kumbe ndo mana Madee mpaka sasa hajaoa asee.