The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Lakini bado unalitembelea hilo jukwaa na kusoma mada,pamoja na kuchangia mada!Kwenye habari na hoja mchanganyiko ndio penye vilaza memkwa wa kutupa..huwezi kuta jukwaa kama la tech , jf garage, kuna watu wa dizaini hio
Kuto kusoma UDSM ndo ulete hasira hapa.
Povu lote hili kisa hujasoma UDSM? Poleeeeeeeh.
Ndio hiyo hiyo ya mwanza we popoma,ile ni sekondari kubwa hamna chuo paleNaiongelea SAUT Mwanza na siyo hii SAUT uliyoiandika Wewe Punguani hapa.
Intellectual arrogance.Chuo ni UDSM, SUA na MUHAS.. Hivyo vingine vya kata.
Kwa hayo matusi kutoka kwa Mwalimu wa Udsm Hakika Kabudi hakukosea kupaita JalalaniMy first degree nimesoma Makerere
MA. Nimesoma University of Denver
Nimefundisha UDSM from 1993-2001 nafikiri kwa muda huo wasted sperm za babako zilikua hazijakutotoa.
Mimi kwa mtazamo jinsi nilivyochunguza elimu ya Tz kiujumla pamoja na hao watu tunaowaita wasomi naona tuko nyuma sana kielimu hakuna cha UD wala nini bado tunasafari ndefu mno mpaka kuja kujisifia kuwa tuna wasomi na vyuo bora.My first degree nimesoma Makerere
MA. Nimesoma University of Denver
Nimefundisha UDSM from 1993-2001 nafikiri kwa muda huo wasted sperm za babako zilikua hazijakutotoa.
Mkuu umemaliza.Yaan mtu na akili zake timamu amefaulu vizuri kabisa let say div 1 kali au 2 anaweza kuomba SAUT??
Aisee kweli Duniani kila mmoja yuko na maono tofauti.
UDSM
SUA
MZUMBE.
Ukikosa hivyo vyo kwa kozi za kawaida basi bado hujapata elimu.
Vingine ni
MUHAS kwenye afya
ARDHI mambo ya Ardhi na michoro
Misifa ( Kujimwambafai ) time.....!!!!!!!!!My first degree nimesoma Makerere
MA. Nimesoma University of Denver
Nimefundisha UDSM from 1993-2001 nafikiri kwa muda huo wasted sperm za babako zilikua hazijakutotoa.
Yaani mimi nisome UDSM tena wakati ikiwa FoE ..afuu aje mtu alinganishe na kataHaipingwiiiiiii!!!!!
YUdiiiiiiiiiii.
Yaani Kabudi mmoja awe sample ya wote waliomaliza UDSM toka kinaanza hadi leo..!! Tena kwa maneno ya kujikomba kwa Simba wa Yuda..!! You are not seriousHakuna chuo Tanzania acha kujifariji.... Kabudi alimaliza draft aliposema UDSM ni Jalalani. Afterall sina utoto wa kuanza bishania vyuo after my long civil service in Tanzania and regional level.
Kuwa fair tuu ni kwamba watoto wa sasa hawana kabisa content kichwani kuanzia hapo jalalani hadi huko kata unakokuongelea.
Ndio maana vile vizee vya ujamaa tangu tuliviacha pale hadi leo vinaamini havijatoka kimaisha... vinasifu na kuabudu vikiamini ipo siku failures walioko CCM watawakumbuka hata kwa ujumbe wa bodi.
Narudia tena na Kabudi alishagongelea msumari, UDSM ni jalala la failures wa CCM kuokota makapi yao ya kuwatupia mifupa.
Kwa hiyo wewe uliyefundisha UDSM umezalisha majalala kama akina Kabudi?My first degree nimesoma Makerere
MA. Nimesoma University of Denver
Nimefundisha UDSM from 1993-2001 nafikiri kwa muda huo wasted sperm za babako zilikua hazijakutotoa.
Kwa mfano umepata Division I halafu unapenda Degree ya Mass Communication ambayo with no doubt kwa Tanzania nzima Chuo Kikuu Bora kwa Kozi hiyo ni SAUT Mwanza utaacha Kuomba au kwenda Kusoma huko?Mkuu umemaliza.
Tuliopataga one zetu hatuwezi kuchagua chuo Cha saut mara zote ni hivyo vyuo ulivyotaja hapo juu ndo Huwa machaguo ya kwanza
UDSM ndo mpango mzima.Hakuna chuo Tanzania acha kujifariji.... Kabudi alimaliza draft aliposema UDSM ni Jalalani. Afterall sina utoto wa kuanza bishania vyuo after my long civil service in Tanzania and regional level.
Kuwa fair tuu ni kwamba watoto wa sasa hawana kabisa content kichwani kuanzia hapo jalalani hadi huko kata unakokuongelea.
Ndio maana vile vizee vya ujamaa tangu tuliviacha pale hadi leo vinaamini havijatoka kimaisha... vinasifu na kuabudu vikiamini ipo siku failures walioko CCM watawakumbuka hata kwa ujumbe wa bodi.
Narudia tena na Kabudi alishagongelea msumari, UDSM ni jalala la failures wa CCM kuokota makapi yao ya kuwatupia mifupa.
Na chuo kinachotoa Engineering course bora hapa TZ ni kipi?Kwa mfano umepata Division I halafu unapenda Degree ya Mass Communication ambayo with no doubt kwa Tanzania nzima Chuo Kikuu Bora kwa Kozi hiyo ni SAUT Mwanza utaacha Kuomba au kwenda Kusoma huko?
Nikiwa nawadharau Kutwa hapa JamiiForums kuwa hamna Akili na ni Wapumbavu na huyo Mwenzako msiwe mnakataa au mnakasirika kwani kwa 100% huwa ninakuwa sahihi kabisa.
Cc: CARDLESS
Tena angekuwa na Akili wala asingejianika na Kujimwambafai hivyo kwani ndiyo ameharibu na Kujichoresha zaidi kwa tunaomzidi IQ hata kama hatuna hiyo Masters na Doctorate kama yake.Kwa hiyo wewe uliyefundisha UDSM umezalisha majalala kama akina Kabudi?
VETA.Na chuo kinachotoa Engineering course bora hapa TZ ni kipi?
Kaharibu kabisa bwana madigrii Lusungo ..!! Yaani hawana tofauti na yule waziri wa Mbeya ambaye anaamini hakuna mtu wa LY 7B anayeza kumshauri yeye mwenye madigriii manneTena angekuwa na Akili wala asingejianika na Kujimwambafai hivyo kwani ndiyo ameharibu na Kujichoresha zaidi kwa tunaomzidi IQ hata kama hatuna hiyo Masters na Doctorate yake.
Ndio moja ya sababu ya ufisadi na kutoendelea zaidi ya miaka 50 baada ya Uhuru.Chuo ni UDSM, SUA na MUHAS.. Hivyo vingine vya kata.