EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Pamoja sana mkuu.Shukrani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuu.Shukrani mkuu
Natumaini hakuuza shamba lake maana wengi waliingia tamaa ndogondogo wakauza kwa bei ndogo sana kwa wafanyakazi waliokuwa serikalini kama wa bandari, BoT n.kBibi yangu alikuwa na shamba pale Mbezi Beach Tangi Bovu. Palepale lilipokuwa Tangi Bovu kwa upande wa pili.
Tabata tulikuwa tunaenda kitambo miaka ya 1980s nyumba za Bima. Enzi hizo wadogo tunaona mbaalinkweli kama tunakwenda nje ya mji.
Ubaya Ubaya stand up!
Yale mashamba miaka ile 1983-1985 ilikuwa unaenda tu CCM unajiandikisha wanakupa shamba, baadaye wakaja watu kulichukua kwa kumfidia. Akahamia huku Africana Interchick.Natumaini hakuuza shamba lake maana wengi waliingia tamaa ndogondogo wakauza kwa bei ndogo sana kwa wafanyakazi waliokuwa serikalini kama wa bandari, BoT n.k
Tabata mpaka miaka ya 1990 palikuwa bado hapajachangamka kivile, ila ilianza kuvamiwa sana miaka ya 2000 mwanzoni. Ilikuwa ni nje ya jiji wakati huo
Aah posta ilikuwa zamani..Imekuwa ghost city ghafla
Hapo alifanya uamuzi mzuriYale mashamba miaka ile 1983-1985 ilikuwa unaenda tu CCM unajiandikisha wanakupa shamba, baadaye wakaja watu kulichukua kw9 kumfidia. Akahamia huku Africana Interchick. Lakininalishanunua sehemu mbiki palepale upande wa pili.
Muhimu sana kuongeza, si kuuza.Hapo alifanya uamuzi mzuri
Babu alikuwa na shamba pale Mbezi Beach, Rafia upande wa kulia ukitokea Africana unaingilia kwenye ile junction
Shamba lingine lilikuwa Salasala kipindi hicho njia ya kwenda Salasala ilikuwa pale mataa ya Africana kushoto ukitokea town tena kalikuwa kanjia tu kamiguu.
Hakuuza mashamba yote mawili mpaka wajukuu tumeyakuta
Amekwambia anazo nyumba zingine mahali mahali,lakini ndoto yake ilikuwa kurudi kukaa mitaa aliyokulia akiwa mtoto.Nadhani bado alikuwa nateseka na kumbukumbu za Maisha ya Utotoni haswa yale yakishua.Ni sawa lakini haipendezi kuishi kisela hivyo hata kama ni kutimiza ndoto Kuna uzee unakaribia..
Ameacha ugomvi wa mirathi Kwa familia as usual Kwa familia za Kibongo.Sasa ile shule inaendelea vizuri kweli? Nasikia yule mama alishafariki.
Ninachoipenda Mimi Posta ya sasa kurent ofisi kwenye majengo yaliyoachwa na serikali kuhamia Dodoma ni cheap.Aah posta ilikuwa zamani..
Baada ya wizara kwenda dodoma hakuwezi kuwa km zamani
Kumbe nyie mi toto ya kishua humu ndani munatuchora tu watoto wa wanyonge. Kenge nyieHakuna Msiba ulioniuma kama wa jirani yangu, Rafiki yangu mkubwa na Mdogo wangu tokea Utotoni mwetu hapo Kitaani Chole Road kama wa Ngapasa.
Kaka yake Roy, Adinani na Dada yake wa Kipekee Happy niliosoma nao Oysterbay Primary School chini ya Mwalimu Mkuu wetu enzi hizo Marehemu Mama Ng'ambi hivi sasa wako wapi Mkuu?
Kama unavyonifahamu nami nakujua.
Na pale walivyojenga miofisi mighorofa kama lile la bandari, nafikiri occupancy rate Dar itakuwa chini. Office space zimeongezeka, je, biashara zimeongezeka hivyo pia?Ninachoipenda Mimi Posta ya sasa kurent ofisi kwenye majengo yaliyoachwa na serikali kuhamia Dodoma ni cheap.
Sasa hivi ni fursa nzuri Kwa watu kama mawakili kuwa na ofisi city center, kuondokana na viofisi vya kwenye stationary.
I plan next year nichukuwe ofisi Posta kwenye majengo ya serikali ambayo yamebaki dormant.
Kufa kufaana.
I don't care, cha msingi sasa hivi office to let ni za kumwaga.Na pale walivyojenga miofisi mighorofa kama lile la bandari, nafikiri occupancy rate Dar itakuwa chini. Office space zimeongezeka, je, biashara zimeongezeka hivyo pia?
Usikariri maisha, Makonda amekulia nyumbani Kwa Samuel Sitta haina maana ni mtoto wa kishua.Kumbe nyie mi toto ya kishua humu ndani munatuchora tu watoto wa wanyonge. Kenge nyie
Halafu wewe? Pole hiyo vipi?Pole sana kwa hilo. Hiyo huwatokea wengi. Kuna members wawili humu wanajifananisha mno nami, labda ni kwa bahati mbaya.
Ova
Unachosema ni kweli miaka ya 2011-2018 nilikuwa na ofisi Posta na Mnazi 1. Baada ya mwenda zake kuvuruga hali ya hewa mwaka 2019 nikahamia Kibaha ufanisi wa kiofisi ulipungua nikapoteza wateja wote.I don't care, cha msingi sasa hivi office to let ni za kumwaga.
Kwa mentality za Wabongo kuwa na office city center ina advantage.
Unaweza kuwa na office nyumbani Kwa sababu huna mishe za kuattend mtu ofisini, lakini Mitanzania wakati mwingine ili ikuelewe business card location isome city centre na uwakaribishe huko maghorofani, ndio sababu matapeli walifanikiwa Sana Kwa kuwa na office nzuri prime area na furniture za kutisha.
Hakuna Mkuu Mimi ni Mshamba na Masikini wa Kutukuka kutokea Kijijini Kwetu huku Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na hata huko Kwenu Dar es Salaam sijawahi Kufika na Sipajui pia.Kumbe nyie mi toto ya kishua humu ndani munatuchora tu watoto wa wanyonge. Kenge nyie
Lile jengo ls posta house kuna ofice hadi laki nne kwa mwezi,miaka ya mid 2000s kupata ofice ppf tower ilikuwa ni hatari bei yake ilitishaNinachoipenda Mimi Posta ya sasa kurent ofisi kwenye majengo yaliyoachwa na serikali kuhamia Dodoma ni cheap.
Sasa hivi ni fursa nzuri Kwa watu kama mawakili kuwa na ofisi city center, kuondokana na viofisi vya kwenye stationary.
I plan next year nichukuwe ofisi Posta kwenye majengo ya serikali ambayo yamebaki dormant.
Kufa kufaana.
Siyo bei Tu, Dalali wa kukupa mchongo wa ofisi anavuta pesa ndefu.Lile jengo ls posta house kuna ofice hadi laki nne kwa mwezi,miaka ya mid 2000s kupata ofice ppf tower ilikuwa ni hatari bei yake ilitisha