mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #81
Kwa tuliosoma history,rise and falls za city is real jupitia posta mpyaSiyo bei Tu, Dalali wa kukupa mchongo wa ofisi anavuta pesa ndefu.
Kuna mwanangu ni mwamba wa biashara za nguzo kariakoo huwa anakwenda China analeta kuuza rejareja na jumla back those days nilitaka kuingia kwenye hiyo biashara, aliniweka wazi kabisa kupata fremu nzuri kariakoo NI million 100 hii siyo Kodi ni kupata goli tu.
NI vigumu mtu ambaye hakuwa karibu na field hizi kuujuwa ukweli huu.
Sijawahi kumkubali Magufuli lakini hili la kuhamishia serikali Dodoma ni Jambo limeokowa Jiji la DSM ukiacha wapambe wachache waliokuwa wananufaika Kwa serikali kuwa Dar.