Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

Siyo bei Tu, Dalali wa kukupa mchongo wa ofisi anavuta pesa ndefu.

Kuna mwanangu ni mwamba wa biashara za nguzo kariakoo huwa anakwenda China analeta kuuza rejareja na jumla back those days nilitaka kuingia kwenye hiyo biashara, aliniweka wazi kabisa kupata fremu nzuri kariakoo NI million 100 hii siyo Kodi ni kupata goli tu.

NI vigumu mtu ambaye hakuwa karibu na field hizi kuujuwa ukweli huu.

Sijawahi kumkubali Magufuli lakini hili la kuhamishia serikali Dodoma ni Jambo limeokowa Jiji la DSM ukiacha wapambe wachache waliokuwa wananufaika Kwa serikali kuwa Dar.
Kwa tuliosoma history,rise and falls za city is real jupitia posta mpya
 
Nimejifunza jambo!

Uzee ukianza kuingia TU tafta site ishi mwenyewe uepuke stress na kelele za mkeo ma watoto!

Kipindi hicho mama anataka kujitawala na wanae!wataanza kukuchezea shere bora utafute geto ule maisha bila stress!!
 
Ameacha ugomvi wa mirathi Kwa familia as usual Kwa familia za Kibongo.

Ni Baobab schools ya Mapinga Bagamoyo ndio founder wake ameacha msingi mzuri wa bodi, amefariki lakini Baobab itaendelea.

Lakini zile taasisi mtu zote zitakufa na mtu wake anapokufa St Mary's ikiwemo.

Kwanza watoto hawajui mama alikuwa anawatapeli wazungu gani fund kwamba anasomesha yatima wakati ni private school ya kulipia.
Nilisoma pale,,,, alikua anachukua watoto yatima kidogo anawaweka kwenye zile nyumba za bima halafu wanapigwa picha wakiwa pamoja na wanafunzi wanaolipia, sijui ndo anawatumia wafadhili, wale yatima sikuwahi kuwaona madarasani mda mwingi walikua tu kwenye zile nyumba bima
 
Nilisoma pale,,,, alikua anachukua watoto yatima kidogo anawaweka kwenye zile nyumba za bima halafu wanapigwa picha wakiwa pamoja na wanafunzi wamamanaolipia, sijui ndo anawatumia wafadhili, wale yatima sikuwahi kuwaona madarasani mda mwingi walikua tu kwenye zile nyumba bima
Mama kaacha mpunga mrefu sana yule,hakuna cha yatima wala nini alikuwa mjanja mno
 
Nimejifunza jambo!

Uzee ukianza kuingia TU tafta site ishi mwenyewe uepuke stress na kelele za mkeo ma watoto!

Kipindi hicho mama anataka kujitawala na wanae!wataanza kukuchezea shere bora utafute geto ule maisha bila stress!!
Yaani hata ujikombe vipi uzeeni watoto wanakuwa upande wa mama tu,hawatajali ulipambanaje lii wapate mahitaji yao kipindi wakiwa wadogo
 
Yaani kama Ingewezekana kukusanya vitongoji kama kinondoni,sinza na Tabata vikae pamoja....ingekuwa poa sana
 
Back
Top Bottom