Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

Bibi yangu alikuwa na shamba pale Mbezi Beach Tangi Bovu. Palepale lilipokuwa Tangi Bovu kwa upande wa pili.

Tabata tulikuwa tunaenda kitambo miaka ya 1980s nyumba za Bima. Enzi hizo wadogo tunaona mbaalinkweli kama tunakwenda nje ya mji.

Ubaya Ubaya stand up!
Natumaini hakuuza shamba lake maana wengi waliingia tamaa ndogondogo wakauza kwa bei ndogo sana kwa wafanyakazi waliokuwa serikalini kama wa bandari, BoT n.k

Tabata mpaka miaka ya 1990 palikuwa bado hapajachangamka kivile, ila ilianza kuvamiwa sana miaka ya 2000 mwanzoni. Ilikuwa ni nje ya jiji wakati huo
 
Yale mashamba miaka ile 1983-1985 ilikuwa unaenda tu CCM unajiandikisha wanakupa shamba, baadaye wakaja watu kulichukua kwa kumfidia. Akahamia huku Africana Interchick.

Lakini alishanunua sehemu mbili palepale upande wa pili.
 
Yale mashamba miaka ile 1983-1985 ilikuwa unaenda tu CCM unajiandikisha wanakupa shamba, baadaye wakaja watu kulichukua kw9 kumfidia. Akahamia huku Africana Interchick. Lakininalishanunua sehemu mbiki palepale upande wa pili.
Hapo alifanya uamuzi mzuri

Babu alikuwa na shamba pale Mbezi Beach, Rafia upande wa kulia ukitokea Africana unaingilia kwenye ile junction

Shamba lingine lilikuwa Salasala kipindi hicho njia ya kwenda Salasala ilikuwa pale mataa ya Africana kushoto ukitokea town tena kalikuwa kanjia tu kamiguu.

Hakuuza mashamba yote mawili mpaka wajukuu tumeyakuta
 
Muhimu sana kuongeza, si kuuza.

Tunakoelekea mji uta double watu halafu ukiwa na nyumba mjini itakuwa mali sana.
 
Ni sawa lakini haipendezi kuishi kisela hivyo hata kama ni kutimiza ndoto Kuna uzee unakaribia..
Amekwambia anazo nyumba zingine mahali mahali,lakini ndoto yake ilikuwa kurudi kukaa mitaa aliyokulia akiwa mtoto.Nadhani bado alikuwa nateseka na kumbukumbu za Maisha ya Utotoni haswa yale yakishua.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Sasa ile shule inaendelea vizuri kweli? Nasikia yule mama alishafariki.
Ameacha ugomvi wa mirathi Kwa familia as usual Kwa familia za Kibongo.

Ni Baobab schools ya Mapinga Bagamoyo ndio founder wake ameacha msingi mzuri wa bodi, amefariki lakini Baobab itaendelea.

Lakini zile taasisi mtu zote zitakufa na mtu wake anapokufa St Mary's ikiwemo.

Kwanza watoto hawajui mama alikuwa anawatapeli wazungu gani fund kwamba anasomesha yatima wakati ni private school ya kulipia.
 
Aah posta ilikuwa zamani..
Baada ya wizara kwenda dodoma hakuwezi kuwa km zamani
Ninachoipenda Mimi Posta ya sasa kurent ofisi kwenye majengo yaliyoachwa na serikali kuhamia Dodoma ni cheap.

Sasa hivi ni fursa nzuri Kwa watu kama mawakili kuwa na ofisi city center, kuondokana na viofisi vya kwenye stationary.

I plan next year nichukuwe ofisi Posta kwenye majengo ya serikali ambayo yamebaki dormant.

Kufa kufaana.
 
Hakuna Msiba ulioniuma kama wa jirani yangu, Rafiki yangu mkubwa na Mdogo wangu tokea Utotoni mwetu hapo Kitaani Chole Road kama wa Ngapasa.

Kaka yake Roy, Adinani na Dada yake wa Kipekee Happy niliosoma nao Oysterbay Primary School chini ya Mwalimu Mkuu wetu enzi hizo Marehemu Mama Ng'ambi hivi sasa wako wapi Mkuu?

Kama unavyonifahamu nami nakujua.
Kumbe nyie mi toto ya kishua humu ndani munatuchora tu watoto wa wanyonge. Kenge nyie
 
Ninachoipenda Mimi Posta ya sasa kurent ofisi kwenye majengo yaliyoachwa na serikali kuhamia Dodoma ni cheap.

Sasa hivi ni fursa nzuri Kwa watu kama mawakili kuwa na ofisi city center, kuondokana na viofisi vya kwenye stationary.

I plan next year nichukuwe ofisi Posta kwenye majengo ya serikali ambayo yamebaki dormant.

Kufa kufaana.
Na pale walivyojenga miofisi mighorofa kama lile la bandari, nafikiri occupancy rate Dar itakuwa chini. Office space zimeongezeka, je, biashara zimeongezeka hivyo pia?
 
Na pale walivyojenga miofisi mighorofa kama lile la bandari, nafikiri occupancy rate Dar itakuwa chini. Office space zimeongezeka, je, biashara zimeongezeka hivyo pia?
I don't care, cha msingi sasa hivi office to let ni za kumwaga.

Kwa mentality za Wabongo kuwa na office city center ina advantage.

Unaweza kuwa na office nyumbani Kwa sababu huna mishe za kuattend mtu ofisini, lakini Mitanzania wakati mwingine ili ikuelewe business card location isome city centre na uwakaribishe huko maghorofani, ndio sababu matapeli walifanikiwa Sana Kwa kuwa na office nzuri prime area na furniture za kutisha.
 
Kumbe nyie mi toto ya kishua humu ndani munatuchora tu watoto wa wanyonge. Kenge nyie
Usikariri maisha, Makonda amekulia nyumbani Kwa Samuel Sitta haina maana ni mtoto wa kishua.

Masaki wanahitaji watu wa kukata Majani ya ng'ombe na kusafisha mazingira, ndio maana hizo sehemu lazima kuna servant Kota utaishi hapo hapo iwe Masaki au Oysterbay.
 
Pole sana kwa hilo. Hiyo huwatokea wengi. Kuna members wawili humu wanajifananisha mno nami, labda ni kwa bahati mbaya.

Ova
Halafu wewe? Pole hiyo vipi?
Mimi tu ndio naweza kuwatofautisha sababu nakujua.
Ole wako nikuone tena b…
YKWIM
 
I don't care, cha msingi sasa hivi office to let ni za kumwaga.

Kwa mentality za Wabongo kuwa na office city center ina advantage.

Unaweza kuwa na office nyumbani Kwa sababu huna mishe za kuattend mtu ofisini, lakini Mitanzania wakati mwingine ili ikuelewe business card location isome city centre na uwakaribishe huko maghorofani, ndio sababu matapeli walifanikiwa Sana Kwa kuwa na office nzuri prime area na furniture za kutisha.
Unachosema ni kweli miaka ya 2011-2018 nilikuwa na ofisi Posta na Mnazi 1. Baada ya mwenda zake kuvuruga hali ya hewa mwaka 2019 nikahamia Kibaha ufanisi wa kiofisi ulipungua nikapoteza wateja wote.
Mtanzania bila kukuta ofisi ya ghorofa haelewi kitu.
Ukiwa na ofisi nje ya city center inakuchukua mda mrefu kuji brand
 
Kumbe nyie mi toto ya kishua humu ndani munatuchora tu watoto wa wanyonge. Kenge nyie
Hakuna Mkuu Mimi ni Mshamba na Masikini wa Kutukuka kutokea Kijijini Kwetu huku Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) na hata huko Kwenu Dar es Salaam sijawahi Kufika na Sipajui pia.

Cc: mdukuzi
 
Ninachoipenda Mimi Posta ya sasa kurent ofisi kwenye majengo yaliyoachwa na serikali kuhamia Dodoma ni cheap.

Sasa hivi ni fursa nzuri Kwa watu kama mawakili kuwa na ofisi city center, kuondokana na viofisi vya kwenye stationary.

I plan next year nichukuwe ofisi Posta kwenye majengo ya serikali ambayo yamebaki dormant.

Kufa kufaana.
Lile jengo ls posta house kuna ofice hadi laki nne kwa mwezi,miaka ya mid 2000s kupata ofice ppf tower ilikuwa ni hatari bei yake ilitisha
 
Lile jengo ls posta house kuna ofice hadi laki nne kwa mwezi,miaka ya mid 2000s kupata ofice ppf tower ilikuwa ni hatari bei yake ilitisha
Siyo bei Tu, Dalali wa kukupa mchongo wa ofisi anavuta pesa ndefu.

Kuna mwanangu ni mwamba wa biashara za nguzo kariakoo huwa anakwenda China analeta kuuza rejareja na jumla back those days nilitaka kuingia kwenye hiyo biashara, aliniweka wazi kabisa kupata fremu nzuri kariakoo NI million 100 hii siyo Kodi ni kupata goli tu.

NI vigumu mtu ambaye hakuwa karibu na field hizi kuujuwa ukweli huu.

Sijawahi kumkubali Magufuli lakini hili la kuhamishia serikali Dodoma ni Jambo limeokowa Jiji la DSM ukiacha wapambe wachache waliokuwa wananufaika Kwa serikali kuwa Dar.
 
Back
Top Bottom