Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Pumba
 
Ni kweli atakuua kwa hasira kutokana na ujinga na u simp wako... changamka acha ulofa
 
Wengine ukitufumania tunakufukuza. Huo muda wa revenge utaufanya ukiwa nje ya mchezo. Yaani ukiwa umepewa Kadi nyekundu.

Hapo ndio utajua kuwa sumu haionjwi na kuna Wanaume ni zaidi ya mashetani.
Naogopa kuuza mafile yote Cute Wife 🤣🤣 Ila jua wanawake wanafinya kimya kimya....bila kelele, unafinywa na kusimulia huwezi....usione wajane wengi mtaani, wanaume wanaaga mashindano mapema mtanange hamuuwezi.

Ushauri, heshimu mkeo.
 
Naogopa kuuza mafile yote Cute Wife 🤣🤣 Ila jua wanawake wanafinya kimya kimya....bila kelele, unafinywa na kusimulia huwezi....usione wajane wengi mtaani, wanaume wanaaga mashindano mapema mtanange hamuuwezi.

Ushauri, heshimu mkeo.

Sisi ndio tunaowafinya, hiyo sio Siri.
 
Na wagane tunaowaona vipi? Una la kusema? Binafsi nawaona wagane wengi mno hasa kwa hapa Dar...! Ni kwamba wake zao wanafinywa kimya kimya na kuaga mashindano au?
 
Vijana chukueni hii ..

1:Mwanamke haombwi msamaha kamwe

2: Mwanaume hupaswi kujitetea mbele ya mwanamke

3: Mwanamke anapewa maelekezo na anapaswa atii na sii vinginevyo
 
Sisi ndio tunaowafinya, hiyo sio Siri.
Kwa kauli yake, amethibitisha kuwa kitu kikubwa zaidi anachojivunia mke akiudhiwa na mumewe pakubwa, ni kumuua aidha kwa sumu na kimya kimya, akitumia nafasi ya kuwa msiri wa mumewe kwenye kumpikia, kumfulia na kadhalika.

Mentality yake hii imelenga kuwafanya wanaume wajue kuwa hawapo salama kwa wake zao, hivyo WANYENYEKEE. Hii ni aina nyingine ya UTUMWA.

Kwamba mwanaume awe mtumwa ndani ya nyumba yake, kwa mkewe.

"Nincompoopness"
 
Umeelewa vibaya, Mimi nawakumbusha kuishi na wake zenu Kwa akili, upendo na heshima....msiwadharau wake zenu, hakuna mwanamke mpumbavu....basi tu hufunika kombe mwanaharamu apite, watoto wakue.....Ila usimdharau mwanamke.
 
kapact kamoja tu unataka tuchukue uzoefu,mie nilikutwa na box zima chini ya uvungu
 
Msingekuwa mnalialia na DNA....wanawake maneno kidogo, vitendo vingi🤣🤣🤣

Nenda Huko ustawi wa jamii uone Kati ya wanaume na Wanawake Nani wanalialia, au nenda Mahakamani utajua Nani wanalialia.

Kaulize Watoto watakuambia Kati ya Baba na Mama Nani analialia.

Unazungumzia mtandaoni ambapo Wanawake wengi hapa nchini TANZANIA Hawana smartphone.

Kuhusu DNA huoni kama ni kwamba inawadhalilisha Wanawake na kutoa tafsiri Mbaya kuwa siku hizi Wanawake ni Malaya, hivi kama Wanawake wasingekuwa Malaya kungekuwa na haja ya DNA?
Yafikirie mambo Kwa mapana yake.

Kijana hajamkuta Mkewe Bikra unategemea asipime DNA?
Labda aone mtoto wamefanana Kabisa. Lakini hata Mimi nawashauri Vijana, kama hawakukuta Bikra Kwa MKE ni Haki Yao kuchukua DNA Kwa Watoto hata kama hamshuku Mkewe.
 
Na wagane tunaowaona vipi? Una la kusema? Binafsi nawaona wagane wengi mno hasa kwa hapa Dar...! Ni kwamba wake zao wanafinywa kimya kimya na kuaga mashindano au?
Karudie utafiti🤣🤣🤣
Wanawake tunajua sana wanaume hampendi kelele, hayo makosa ya kukutwa na condom yanawekwa kwenye file....siku makelele yakianza hutaamini....utulivu unaondoka...ndiyo mnaanza kupata sukari na presha, muda huo umegombanishwa na watoto.
Mind you hakuna mchepuko wa kuziba pengo la familia, na miaka yako hamsini utawaza uzae mtoto mchanga tena?
Hauwekewi sumu, utauliwa na dhamiri yako mwenyewe.
 
Siwezi kujitetea hivyo mwanamke ni mtoto sijitesi hataki asepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…