Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Wanaume wanaoteseka ndoani hawana nguvu ya kuvunja izo ndoa kisa dini na watoto na wengi wameshapoteza frame yao kwa wake zao.
Wanawake ni top tier manipulators, wabinafsi nk hizi ziko wazi kabisa.
Ndo maana miye siku hizi,sinaga kuremba na wanawake,
 
kwanini uoe wakati cheating is inevitable?

eti mzee wangu
Unaoa au kuolewa Ili upate mnafiki mwenzako mnafikiane huku mnapunguziana upwiru hadi pale mtapomaliza siku zenu za kuishi duniani, manake humo ndani ya ndoa utakuta huyu anachepuka, huyu anajenga kwao kisirisiri, huyu anambambikia mwenzie watoto...basi unafiki mtupu
 
Hiii ndo kauli nzuri toka asubuhi ukiacha Ile ya Msigwa

Mi ndo maana siku hizi hata nikifumania sms,ndo kwanza Nampa aziisome
 
Points.
Usidanganye kabla hujapanga beki.

Tumia Imani ya opponent kudanganya.

Uongo unawafaa wenye magari.

Tujitahidi kurudi nyumbani kabla ya wake zetu.

Mwanamke akikupenda anavumilia hata kama anajua unamdanganya.

Kila mtu awe na gari lake kuepusha mizozo
Pia ni rahisi sana kusamehewa kama unamiliki gari.

Ukiwa huna gari hata uwe na pointi 100 we ni msaliti tu na haufai kupewa nafasi ya pili.

Kama una maisha ya kumfanya mkeo awe na option ya kuamua kutumia aina gani ya gari itayomfaa kwa mtoko wa siku hiyo, basi hauhitaji kuwa makini kwenye vitu ambavyo mkeo akiona atajua umem cheat.

Ukisahau ndomu kwenye dashboard ya gari ni simple sana wife kukuelewa kuwa ni bahati mbaya kuliko ukisahau ndom kwenye kiti cha baiskeli.
 
Wanaume wanaoteseka ndoani hawana nguvu ya kuvunja izo ndoa kisa dini na watoto na wengi wameshapoteza frame yao kwa wake zao.
Wanawake ni top tier manipulators, wabinafsi nk hizi ziko wazi kabisa.
Mhhhh,umegusa wengi
 
Unaoa au kuolewa Ili upate mnafiki mwenzako mnafikiane huku mnapunguziana upwiru hadi pale mtapomaliza siku zenu za kuishi duniani, manake humo ndani ya ndoa utakuta huyu anachepuka, huyu anajenga kwao kisirisiri, huyu anambambikia mwenzie watoto...basi unafiki mtupu
Unachosema ni sahihi sana tunawala sana wake za watu. NDOA NI UTAPELI
 
Pia ni rahisi sana kusamehewa kama unamiliki gari.

Ukiwa huna gari hata uwe na pointi 100 we ni msaliti tu na haufai kupewa nafasi ya pili.

Kama una maisha ya kumfanya mkeo awe na option ya kuamua kutumia aina gani ya gari itayomfaa kwa mtoko wa siku hiyo, basi hauhitaji kuwa makini kwenye vitu ambavyo mkeo akiona atajua umem cheat.

Ukisahau ndomu kwenye dashboard ya gari ni simple sana wife kukuelewe kuwa ni bahati mbaya kuliko ukisahau ndom kwenye kiti cha baiskeli.
Hahaaaaaa
True
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

***** na Mimi ninunue gari
 
Huachwi Ila chamoto utakiona humo ndoani, usione wanaume wanashona mashati ya vitenge sare na wake zao ukajua ni mapenzi, au wanafokewa mbele ya watoto....wakati mwingine kuna adhabu za makosa Yao wanatumikia.....ogopa wanawake, we are good manipulators.

Mwanamume ukishakuwa na pesa, umemzalisha hata ukimcheat mwanamke hana ujanja

Wanawake wengi waliozalishwa huwa wanajua wanacheatiwa ila waoga kuomba talaka

Wanajua hawana soko tena. Ni mwendo wa kuvumilia ndoa
 
Hii kwenye kikao mbona tulikubaliana KUKANA yaani ata akikufumania live unakana kabsaaa unasema sio wewe..Mbona Gwajima alikana akasema mikono ya baunsa sio yeye....
 
Back
Top Bottom