bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mwanamke hawezi muacha mwanaume mwenye pesa kisa kachepuka.Mwanamke haombwi msamaha hata kama umekosea.
Mwanamke hawezi kukuacha kisa kuchepuka, ila baada ya hawa feminists kuwa groom wanawake hali imekua tofauti saivi.
Case study zuchu.