Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...[emoji87]

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..[emoji5]
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza[emoji23]).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...[emoji12]

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...[emoji846]

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...[emoji23]

Haya vijana chukueni point hapo...[emoji4]
Umetisha
 
Men forget but they never forgive
Women forgive but they never forget
Be carefully.
 
Na wewe umeamini wife alienda kazini? [emoji1787][emoji1787] Ukute alienda Kwa bebi wake wa akiba kupunguza hasira, hapo karudi anakuchora tu, watoto wa mjini tunasema both teams to score[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wahenga walisema mla huliwa[emoji1787][emoji1787]
Basi mwamba kajiona amewin sana[emoji1787]

Ndoa hizi[emoji28]
 
Pia ni rahisi sana kusamehewa kama unamiliki gari.

Ukiwa huna gari hata uwe na pointi 100 we ni msaliti tu na haufai kupewa nafasi ya pili.

Kama una maisha ya kumfanya mkeo awe na option ya kuamua kutumia aina gani ya gari itayomfaa kwa mtoko wa siku hiyo, basi hauhitaji kuwa makini kwenye vitu ambavyo mkeo akiona atajua umem cheat.

Ukisahau ndomu kwenye dashboard ya gari ni simple sana wife kukuelewe kuwa ni bahati mbaya kuliko ukisahau ndom kwenye kiti cha baiskeli.
Ndio maana hata mimi nawaza kuongeza wake wa3 nikishatoboa mambo yakikaa vizuri.

uksishatoboa mke hawezi kuumia na uke wenza wakati umemuwekea nyumba kali na gari yenye kiyoyozi.

Shida unapiga uke wenza alafu mke kula anapapasia gengeni,ataua kwa hasira 😄😄
 
Na wewe umeamini wife alienda kazini? 🤣🤣 Ukute alienda Kwa bebi wake wa akiba kupunguza hasira, hapo karudi anakuchora tu, watoto wa mjini tunasema both teams to score🤣🤣🤣, wahenga walisema mla huliwa🤣🤣
Qummke bila bila.... Mpaka sasa ubao unasoma 1-1
 
Back
Top Bottom