Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Hukufanya vyema kutumia Biblia kudanganya! Sidhani kama umemaliza! Njia ya mwongo ni fupi sana! Nakuhakikishia utakamatwa! Badilika, acha uzinzi! mpende mkeo, mthamini, mjali, mlinde! Ungefanyiwa hivyo ungefurahi?
Mkuu...
Wapi umeona nimesema nimetumia bible kudanganya??
Au nikitenda dhambi, ndio sipaswi kusali na kutubu??
Wapi nimesema simpendi waifu??
Wapi umeona simlindi na kumjali??
By the way.......
Don't take Jf so serious, and remember we are not an angles...😊
 
Bro yaan huyo mwanamke wako bwege kweli,,yaan eti umeachwa masaa kadhaa kabsa sasa utakosaje kutunga uongo??,,,yaan hapo ingekuwa wa kwangu yaan hata kazin hakuendekek anataka maelezo
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...🙊

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..☺
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza😂).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...😜

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...🙂

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...😂

Haya vijana chukueni point hapo...😊
Umesharudia mara ngapi baada ya hapo🤸🤸🤸
 
Uelewa wa mke wako ni mdogo sana, wala usijisifie, na Kama siyo mdogo, litaibuka tena. Bado una kazi ya kufanya.
 
Points.
Usidanganye kabla hujapanga beki.

Tumia Imani ya opponent kudanganya.

Uongo unawafaa wenye magari.

Tujitahidi kurudi nyumbani kabla ya wake zetu.

Mwanamke akikupenda anavumilia hata kama anajua unamdanganya.

Kila mtu awe na gari lake kuepusha mizozo
Na sisi tunaomiliki magari alafu bado hatujaoa unatuweka wapi?🤔
 
Msipende gari za kufamilia kufanyia ngono au kubebea malaya.
Ni sawa na kulala na mzinzi mwenzio kwenye kitanda Cha familia
Duhhhhh....🙊
Kumbe ndivyo ilivyokua...🙆‍♂️
 
Bro yaan huyo mwanamke wako bwege kweli,,yaan eti umeachwa masaa kadhaa kabsa sasa utakosaje kutunga uongo??,,,yaan hapo ingekuwa wa kwangu yaan hata kazin hakuendekek anataka maelezo
Mkuu, nilimuachia kijana sim atumie naona ndio keshaleta tafrani hapa jamvini...🤨
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...🙊

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..☺
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza😂).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...😜

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...🙂

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...😂

Haya vijana chukueni point hapo...😊
kwaio umeona umdhiaki Mungu na viapo vyako na uongo via bible ili umfuraishe uyo mke wako..

hyo ndoa uyo..watch out!!!
 
Uelewa wa mke wako ni mdogo sana, wala usijisifie, na Kama siyo mdogo, litaibuka tena. Bado una kazi ya kufanya.
Minafikiri wewe ndio unauelewa mkubwa kwa kusoma na kuelewa content ya huu uzi...😊
 
Duh wazee wenywe ndio wewe haya utakuwa ,msimamizi kwenye ndoa yangu siku naoa
 
Kondom ya nini mkuu!?....

Vaseline yatosha...
Zibua mitaro/mifereji yoyote na vaseline!

Sijui mm Nna bahati nao!? KILA nnaekutana nae....ana allergy na kondom!.....Akiingiliwa na kinga tumbo linamkata kwa chini!...

Sijui hii imekaaje Kwa wadada!
Kwangu naona bam bam kabisaa!
 
Muuza tikiti wa Ushirombo kazini kwao wana training za kujikinga na magonjwa [emoji12][emoji38][emoji2957][emoji2957][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2957][emoji2957][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12][emoji38][emoji38][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23]
Mkuu mbona ushirombo tena[emoji16]
 
Back
Top Bottom