Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

Siku akinikamata shemeji yako nakuangushia jumba bovu.

Ukiona Tu Simu yangu imeigia halafu bila salaam naana, kaka SASA ndio umefanya nini kwenye gari yangu, jua kabisa ni msala huo nakutupia Kaka, nawe pokea goma zima kifuani tembea Malo kwenye chaki.
 
Hii imekaa vizuri...tena bila salam unamfokea, we falq umeamua uvunje ndoa yqngu? Kwanini umeqcha zaga lako kwa gari?
Tabia gani hiii??😂😂😂
 
Attachments

  • tapatalk_1521144929388.jpeg
    tapatalk_1521144929388.jpeg
    28.9 KB · Views: 2
Uongo unawafaa wenye magari.

Tujitahidi kurudi nyumbani kabla ya wake zetu.

Mwanamke akikupenda anavumilia hata kama anajua unamdanganya.

Kila mtu awe na gari lake kuepusha mizozo
..... Contradictions
 
Hii imekaa vizuri...tena bila salam unamfokea, we falq umeamua uvunje ndoa yqngu? Kwanini umeqcha zaga lako kwa gari?
Tabia gani hiii??😂😂😂
Nae upande wa pili, Una hamaki, Kaka, Una naana nimeacha uchafu kwenye gari, niwie radhi ndugu yangu, nisamehe saana Kaka, bahati mbaya ndugu yangu.

SASA hapo nawe unamchana nakuamini ndugu yangu, nakuazima gari kumbe umeenda kufanyia ufuska, Kwa kitu hiki sikusamehi Mzee, ikiwezekana haya mkeo namwambia..(basi wanawake walivyo wa ajabu,hapo atakataa nisimwambie make wa jamaa, kisa eti nisivunje ndoa Yao.)🤣🤣
 
Ushimen ni falla anaelewa haraka anaweza kukuokoa, unajua ukiwa na rafiki waruwaru atakufaa wakati sahihi🤣🤣
 
Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.

Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.

Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...🙊

Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..☺
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.

Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza😂).

Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.

Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...😜

Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...🙂

Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...😂

Haya vijana chukueni point hapo...😊
Hukufanya vyema kutumia Biblia kudanganya! Sidhani kama umemaliza! Njia ya mwongo ni fupi sana! Nakuhakikishia utakamatwa! Badilika, acha uzinzi! mpende mkeo, mthamini, mjali, mlinde! Ungefanyiwa hivyo ungefurahi?
 
Msipende gari za kufamilia kufanyia ngono au kubebea malaya.
Ni sawa na kulala na mzinzi mwenzio kwenye kitanda Cha familia
 
Nae upande wa pili, Una hamaki, Kaka, Una naana nimeacha uchafu kwenye gari, niwie radhi ndugu yangu, nisamehe saana Kaka, bahati mbaya ndugu yangu.

SASA hapo nawe unamchana nakuamini ndugu yangu, nakuazima gari kumbe umeenda kufanyia ufuska, Kwa kitu hiki sikusamehi Mzee, ikiwezekana haya mkeo namwambia..(basi wanawake walivyo wa ajabu,hapo atakataa nisimwambie make wa jamaa, kisa eti nisivunje ndoa Yao.)🤣🤣
Watu na maujuzi yenu...🤣
Heshma yako mtaalam...😜
 
Back
Top Bottom