Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahaaaaaSITAKI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaaaSITAKI
Gwajiboy aliua sana aiseeHii kwenye kikao mbona tulikubaliana KUKANA yaani ata akikufumania live unakana kabsaaa unasema sio wewe..Mbona Gwajima alikana akasema mikono ya baunsa sio yeye....
Mungu aondoe kwanza ile UTI Sugu kutoka Kenya ndiyo nilowekeAahaaaaa
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Mwanamume ukishakuwa na pesa, umemzalisha hata ukimcheat mwanamke hana ujanja
Wanawake wengi waliozalishwa huwa wanajua wanacheatiwa ila waoga kuomba talaka
Wanajua hawana soko tena. Ni mwendo wa kuvumilia ndoa
Lazima aende akafungue genge la nyanya mkuu, au ngoja nianze kumfuatilia maana kama machale yameanza kunicheza isije ikawa wewe ndio waifu wangu...🙄Na wewe umeamini wife alienda kazini? 🤣🤣 Ukute alienda Kwa bebi wake wa akiba kupunguza hasira, hapo karudi anakuchora tu, watoto wa mjini tunasema both teams to score🤣🤣🤣, wahenga walisema mla huliwa🤣🤣
Usijiaminishe hivyo, tena hasa Kwa wanawake wa Pwani, labda awe anakupenda sana....au Hana kipato anakutegemea Kwa kila kitu....la sivyo ukaachwa wewe na watoto wako, halafu anaolewa nyumba ya pili tu hapo 🤣🤣🤣Mwanamume ukishakuwa na pesa, umemzalisha hata ukimcheat mwanamke hana ujanja
Wanawake wengi waliozalishwa huwa wanajua wanacheatiwa ila waoga kuomba talaka
Wanajua hawana soko tena. Ni mwendo wa kuvumilia ndoa
You did a great mistake to left her off work furiously ,she met with her sexmate fckd thus why once you came with petty apology she smiles.Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari.
Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning.
Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa ameishikilia mkononi na akiwa mwenye hasira and seriously akataka kujua kwanini nimemfanyia vile na dharau ya ainagani nimeonyesha kwake.... Lahaulla...[emoji87]
Ikabidi kwanza nimshushe presha na hakua amekubali wala nimkumbatie... Dahhh..[emoji5]
Akili ikaanza kuzunguka kwa haraka ikifanya kazi ya ziada chap nikamwambia kipenzi changu aende job na akirudi jioni tutalizungumza kwasababu sazile nilikua namuona akiwa mwingi wa hasira.
Huku nikijitetea kwamba siwezi kufanya hivyo (wakati moyoni sina jibu) nikamwambia kwa msisitizo kwamba awe na amani na akirudi nitamueleza ukweli maana yeye ni mke wangu mpenzi na siwezi kumsaliti kamwe (hapo ikabidi niape kwanza[emoji23]).
Jioni alipo rudi kwanza alinikuta nimeshikilia bible najisomea, nikaiweka pembeni (nami nikawa nimesha pata jibu kwa kutumia mbinu za kimedani) kisha nikaanza kwa kumuelezea huku nikimkumbusha namna job kwangu tunavyo sisitizwa mambo ya kujikinga na magojwa ya kuambukiza pamoja na kucontrol magonjwa mengine hasa malaria.
Then nika ongea kwa msisitizo zaidi kwamba hiyo siku tulipewa/tuligaiwa kila mmoja kipande kimoja ya kondoms ili tukiwa kwenye training/refresher kila mmoja atafanya demonstration ili mwalimu/trainer aone kama wanafunzi wake wameelewa...[emoji12]
Baada ya kumwambia hayo huku nikisisitiza upendo na heshma kwake, akatabasam kidogo kisha nikamuimba msamaha kwa kosa la kujisahau na kuiweka kwenye gari badala ya kuitupa jalalani...[emoji846]
Kesi imeisha na tupo njema kabisa maisha yanaendelea kama kawaida...[emoji23]
Haya vijana chukueni point hapo...[emoji4]
Gwajiboy/Anko Rashidi ni baharia sanaGwajiboy aliua sana aisee
Akuuu hata siye Mie, Kwanza Mimi mume wangu Hana gari🤣🤣, halafu Sisi tumeanza kupigana matukio kitambo kiasi kwamba nikikuta condom presha hainipandi, sanasana nitaichukua nikaitumie kwenye play zangu za away🤣🤣🤣Lazima aende akafungue genge la nyanya mkuu, au ngoja nianze kumfuatilia maana kama machale yameanza kunicheza isije ikawa wewe ndio waifu wangu...🙄
Aliutendea haki uanaumeGwajiboy/Anko Rashidi ni baharia sana
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Akuuu hata siye Mie, Kwanza Mimi mume wangu Hana gari🤣🤣, halafu Sisi tumeanza kupigana matukio kitambo kiasi kwamba nikikuta condom presha hainipandi, sanasana nitaichukua nikaitumie kwenye play zangu za away🤣🤣🤣
Ila take care, Kwa sasa endelea kujifanya mchamungu hivo hivo🤣🤣🤣
Then wanaopata tabu ni watoto baada ya kuachanaTatizo wanaume mnatuchukuliaga hatuna akili, ujue wanawake tunajua sana wanaume mnacheat, Ila hatutarajii mcheat hadi tuwakamate....tukiwakamata upepo unageuka, mnatufungulia mlango wa revenge....
Tumbaf kama tumbaf...😂😂😂Unanikosea heshima tumbaf...🤨
Ngoja nilog out nisije kuwapandisha presha wanaume wa Jf🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Ukute huyu ndo mke wangu na hii ndo Id yake,dah
Kuna watu watajibu mauaji ya halaiki mbinguni dronedrake 🤣🤣🤣Kitanzi kinamsubiri muuaji huyo...😜
Bora wapate tabu wakati unatafuta dada Yako au dada wa kazi akae naoThen wanaopata tabu ni watoto baada ya kuachana
Ukilog out nitaamini we ni mama kulwa mke wanguNgoja nilog out nisije kuwapandisha presha wanaume wa Jf🤣🤣🤣🤣