Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

Tatizo mda wote nalewa mkuu..
Sasa naona aibu kwenda kwa dkt wangu wa saikolojia afu akajua mm napiga pombe wakati alinikataza.

Bado si sababu ya msingi kutokwenda. Fanyia kazi uliyoelekezwa na unapofeli kuwa mkweli ili mjenge njia mwafaka ya kufikia afya njema na si kukimbia ukweli.

Wataalamu hawajapewa mamlaka ya kuhukumu bali viapo vya kwenda nasi bega kwa bega kwenye mapito yetu.

Mengine yote ni ubinadamu wetu kama unavyoweza kutotimiza ya upande wako.
Piga moyo konde pata msaada bila kulimbikiza matatizo na kuyaacha yakue.
Ni muhimu wakati huu ambapo unajitambua vyema.

Counselling is not a single sitting season and it has ups and downs. Ni sehemu ya maisha hayo bali jizatiti kutekeleza na kuwa mkweli wa nafsi yako.

Moja ya kitu unatakiwa kutambua ni kuwa vitu unavyoelezwa uviache/uepuke, huongeza mparaganyiko wa utendaji wa ubongo wako hivyo dalili kuja kwa nguvu zaidi. Ingawa wewe unaweza usilione hilo. Unachokifanya kwa ubongo wako ni sawa na kumsukuma mlevi.
 
Wabongo tunashindwa kuelewa umuhimu wa afya ya akili

imani potofu na dini vinatumpumbaza
Kuwa mbali na dini ya kweli (Uislam) ndio chanzo cha kukosa furaha ya kweli. Na hili linawahusu hata Waislam ambao wanapuuzia dini yao na kukaa mbali nayo. Usifanye mchezo na kukaa mbali na Mola wako. Tena nyinyi mnaojifanya mnatukana Dini au kumkana Muumba ndio huwa mna hali mbaya mno.
 
Unataka aambiwe JIUWE..???
Kauli za "komaa, pambana" mara nyingine zinadogosha matatizo.

Na si kwa makusudi, watu wetu wengi hawana hata lugha ya kuongelea haya mambo.

Yani unapomwambia mtu "komaa, pambana" unafanya kama vile haya matatizo yapo ndani ya uwezo wa huyu mtu kuyashinda, tatizo lake hajafanya jitihada za kutosha kukomaa na kupambana.

Wakati, mara nyingi sana haya ni matatizo ya kisaikolojia yanayoweza kuwa addressed kwa kumpa msaada wa kutoka nje huyu mtu, watu kum support, yeye kupata counselling.

Watu wengi wanakwenda kudogosha matatizo kwa kusema "komaa, pambana, tunakuombea, pole" badala ya kutafuta majibu ya matatizo kwa kuangalia utatuzi uko wapi.

Hayo maneno ya "komaa, pambana, tunakuombea, pole" yanaweza kuwa negative (komaa, pambana yanaweza kuonekana maneno ya kutia moyo, wakati kiukweli ni maneno condescending ya kusema muhanga hajakomaa na kupambana vya kutosha). "Tunakuombea" na "pole" ni maneno yanayoweza kuonekana ni ya solidarity na sympathy, lakini hayasaidii sana.

Instead, kwa nini usimuulize mtu "How could I help?"
 
Acha kuuchukia Uislam. Uislam sio adui kwako. Uislam ni asili yako. Acha kujilazimisha kuuchukia Uislam na uukubali Uislam. Utapata furaha ya kweli. Allah akuongoze katika Uislam Nelson Jacob Kagame
 
mbususu ni mbususu tu na utamu ni ule ule cha msingi epuka magonjwa
 
Mkuu nina watoto watatu na mke na kila kitu financial kipo poa...
But nina tatizo la ulevi uliopindukia mkuu...
Wa pombe kali kali
Nikutafutie dawa ya kienyeji Kuna boss wangu wa zamani alikua anakunywa hadi anazima but now hagusi kabisa, ilifika mahali beer bila kumix na konyagi halewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…