Nasikitika Kura yangu 2020 nilimpigia Lissu

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
 
Najua watakuwepo wagombea wengi labda Zitto au Hashim Ubwabwa wanaweza kupata kura yangu.
 
Leo nasoma comments tu twende kazi
 
Kwanza kabisa wewe ni Mpumbavu. Mengine watakwambia wadau.
 
Hakuna mtu mtu mweusi hasa Mtanzania wa kuitawala hii nchi halafu ikasonga mbele.
Wote sisi ni watu wa tamaa na wabinafsi mfumo m'baya tumerithi kwa baba yetu.
Sawa kabisa hichi kitu nimekisema sana sisi tangu chini hatujajengwa kuwaangalia wengine walio wengi.
 
Lissu hapati kura yoyote kutoka kwenu kasikazini
 
Kuwaelewa nyumbu ni ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…