Nasikitika Kura yangu 2020 nilimpigia Lissu

Nasikitika Kura yangu 2020 nilimpigia Lissu

Ni hivi: Mimi hata siku moja sitakataa watu wengine kutoa mawazo yao. Ila mawazo yanapotolewa kwa sababu za kibinafsi i.e. maslahi binafsi, basi nitalaani kwa nguvu zote. Najua ni nini kinachoendelea CHADEMA kwa undani ndiyo maana nimesema hivyo. CHADEMA inavugwa na fedha na makubaliano kati ya Mbowe na Samia kwa maslahi yao binafsi. Mimi nilikuwa muumini wa Mbowe muda wote,
Haahaa chezea pesa za abdul
 
Watu wa CHADEMA mnatakiwa kukiweka chama mbele, Lissu hana kosa lolote. Kila siku katika masuala ya kitaifa mnazungumzia umuhimu wa kujenga taasisi imara badala ya kumtegemea mtu binafsi. Kama mna nia ya dhati kujenga upinzani imara hapa nchini miaka 20+ ya Mbowe inatosha. Shida CHADEMA ni kama Kingdom ya watu flani; kwa hii midomo inayo mshutumu Lissu inaonesha tofauti ya CCM na CHADEMA ni ndogo sana. Miaka ya nyuma kidogo CHADEMA ilikuwa ni mfano wa kila jambo jema, lakini sasa mmeyatupa mazuri yote na kuyachukua mabaya ya upande wa pili.
 
Sawa tumekuelewa team Mbowe, kwamba makasiriko yako yanatokana na Lissu kusema kwamba atagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA!!.
Hayo ya kura 2015 ni porojo tuuu!
 
Najua watakuwepo wagombea wengi labda Zitto au Hashim Ubwabwa wanaweza kupata kura yangu.
Nani kakuambia CHADEMA watamsimamisha Lisu? Lisu sio presidential material. Yeye anafaa zaidi uwaziri mkuu. Hata kwenye chama cheovalichonacho ndicho kinamfaa au awe Katibu Mkuu lakini sio Mwenyekiti.
 
Gentleman,
ila kusema ukweli muungwana ana tamaa na uchu wa madaraka sana dah!

yaani mtu asubuh anatangaza kugombea umakamu mwenyekiti taifa kwa unyenyekevu mkubwa, halafu jioni anatangaza kugombea uenyekiti kamili dah 🐒
Ni haki yake lakini wa mwache hakuna sababu ya kumzuia au kumpinga gentleman
Hata saa100 kuna watu huko ccm wanaona nao wanauwezo wa kuongoza wachuane naye

Ova
 
Ni haki yake lakini wa mwache hakuna sababu ya kumzuia au kumpinga gentleman
Hata saa100 kuna watu huko ccm wanaona nao wanauwezo wa kuongoza wachuane naye

Ova
hajazuiwa na yeyeto ispokua Lazima atambue kwamba siasa ni sayansi ya makelele na mdomo tu,

Lazima azingatie hisabati ya siasa. Anaweka masharti ya nini eti akishindwa kwa uchaguzi huru na haki ndipo atakubali,

hii ni kumaanisha nini sasa kwa mfano gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom