Nasikitika Kura yangu 2020 nilimpigia Lissu

Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Naona machawa wa Mbowe mmeshaanza kujitokeza.

"Mwenyekiti anaweza kuwa hana shida ila machawa wanahofu endapo mwenyekiti akiondoka maisha yatakuwaje".
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Wewe tunakujua ni wa kule na hujawahi mpenda Lisu , nyie ndio wanufaika wakubwa wa Mbowe
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Pole sana,
ni wengi sana walipata hasara hiyo na kwakweli wanajuta kumuunga mkono mkurupukaji huyu mwenye tamaa ya vyeo na madaraka asie na maono.

Poleni sana ndugu zangu, ila tupo pamoja licha ya machungu na majuto mnayopitia.

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana. Mungwana anatia kinyaa anatia aibu Demokrasia ndani ya chadema 🐒
 
Duh na wee tena 😄

Ova
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Amewashika pabaya eeeeh, yaaani mapovu yote haya yanakuja baada ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti😀😀😀,
Mnahubiri demokrasia kumbe demokrasia ndani yenu hamna,
 
Kumbe Mbowe ana michawa mingi kiasi hiki?
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Mkuu hayo yote uliyosema ni haki yako, ikibidi ishawishi hata familia yako wasimpe kura Lisu, hiyo ndio demokrasia. Lakini muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umekwisha. Mbowe kakaa madarakani miaka 20, leo mwingine katangaza kugombea hiyo nafasi mnatuambia habari za ana papara?!
 
Kajinga kalikoandika hii post.
Better tundu Lisu kuliko Mbowe,
Kwa akili safi kikanuni, Kisheria na maadili, Tundu lisu angekuwa Mwenyekiti wa chama enzi za 2015, Marehemu Lowassa asingepeperusha bendera ya chama aishie kukifukia kabisa,
Badala yake Dr. Slaa angekipeperusha kikakae mawinguni.
Kwa wenye wenye kuona mbele ya siku, wameshaona Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa Kusherehekewa.
 
kumbe nawe ni victim? pole sana gentleman, aise kumbe wengi sana mlijeruhiwa ee 🐒
Alichokifanya/ amekiamua lissu
Ni haki yake na kwa watu wanaomkubali kwa hyo tumwache tu akapambane na mbowe

Ova
 
Mmeanza kashfa, wewe sifia pigia debe mgombea wako ili akamshinde Lissu. Relax brother, huko kukurupuka kwa Lissu hamkumnyimi haki yake ya kugombea.

Mfuasi wa CHADEMA unaichukia Demokrasia?
 
Back
Top Bottom