Nasikitika Kura yangu 2020 nilimpigia Lissu

Alichokifanya/ amekiamua lissu
Ni haki yake na kwa watu wanaomkubali kwa hyo tumwache tu akapambane na mbowe

Ova
Gentleman,
ila kusema ukweli muungwana ana tamaa na uchu wa madaraka sana dah!

yaani mtu asubuh anatangaza kugombea umakamu mwenyekiti taifa kwa unyenyekevu mkubwa, halafu jioni anatangaza kugombea uenyekiti kamili dah 🐒
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Nafikiri uko sahihi.

Jamaa ni kama anamatatizo yasiyotibika kabisa ya kiburi kwenye ubongo wake.
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Kisa anagombea uenyekiti na wewe unataka huyu mpiga deal Mbowe aendelee?
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Lissu ni msema kweli..
Kuna muda huwa nashangaa kile ambacho mnahubiri serikali na ccm hawafanyi mfano kama chawa wa ccm kutoikosoa serikali na chama chao mnawaponda, lakini hilo akitokea mtu akafanya kile ambacho mnataka chawa wa ccm wafanye ila akakifanya kwa chadema kama kusema ukweli basi anakuwa msaliti.
 
Kwa asili natokea Kyela.
Watu wa ''kuona mambo kwenye kisahani'' tunajua undni wa mambo. Tunajua Samia ametoa fedha nyingi kwa Mbowe na wamepanga CHADEMA isimpinge kiukweli kwenye uchaguzi ujao bali wafanye sanaa. Mbowe naye akaja kuwaahidi nyie wafuasi wake kuwa ''better days are coming, stay tunes''. Sasa Lissu anaonekana kuwa tishio kwenye ulaji wenu.
 
Hii ni baada ya Lissu kuutaka u chairman
Hapana.

Lissu ana haki ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa.
Tatizo ni njia anazotumia kuitaka hiyo nafasi,huwezi kukibagaza chama chako halafu wakati huo huo unataka kukiongoza.

Mwanzo nilimuunga mkono lakini kadri muda unavyosonga mbele unamuona Lissu mwenye papara,mwenye majivuno,mkosa hekima,anadharau viongozi wenzake.....
 
Watu wa ''kuona mambo kwenye kisahani'' tunajua undni wa mambo. Tunajua Samia ametoa fedha nyingi kwa Mbowe na wamepanga CHADEMA isimpinge kiukweli kwenye uchaguzi ujao bali wafanye sanaa. Mbowe naye akaja kuwaahidi nyie wafuasi wake kuwa ''better days are coming, stay tunes''. Sasa Lissu anaonekana kuwa tishio kwenye ulaji wenu.
Kwanza uelewe napenda mabadiliko ndani ya Chadema lakini napenda Kiongozi sahihi.
 
Utanionaje na wewe unamuona Lissu tu?
Akikupa shavu usinisahau
Mimi siasa zangu zinaishia humu humu, siwezi kuingia kwenye siasa moja kwamoja najikita kwenye biashara zangu, some times siasa ni mchezo mchafu.
 
Kwanza uelewe napenda mabadiliko ndani ya Chadema lakini napenda Kiongozi sahihi.
Kongozi sahihi huamuliwa na wanachama na mashabiki wote wa CHADEMA na siyo wewe. Mkifanya ujinga wa kudhani nyie ndiyo wenye mamlaka ya kuweka ''kiongozi sahihi'' na siyo wanachama na wapenzi wa chama basi mjue mnajiangamiza wenyewe.
 
Tangazo la Lissu kutia nia ni kama amemwaga mafuta ya taa kwenye kichuguu waduu waote walioweka makao humo lazima watoke njee, tumewaona na povu jingi kama wamefakamia omo.
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Nakuelewa. Kwangu mimi tatizo sio Lissu kutaka kugombea Uenyekiti bali ni namna alivyofanya. Nilianza kumstukia pale alipokuwa akitoa shutuma zake hadharani ambazo zililenga kuonyesha kuwa uongozi wa Mbowe umejaa uozo. Hata ile ya kusema alizikataa pesa za Abdul haikukaa vizuri. Kwa nini aseme ametajiwa walio pokea pesa kutoka kwa Abdul bila kuthibitisha kama kuna ukweli ndani yake! Kwa vile inaelekea aliyaamini madai yale basi ilikuwa ndio nafasi muafaka kujitoa katika uongozi wa chama chake na kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti! Hakuwa na sababu ya kusisitiza kuwa nia yake ni kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti halafu siku mbili baadae kutangaza kuwa atagombea Uenyekiti.

Amandla....
 
Kongozi sahihi huamuliwa na wanachama na mashabiki wote wa CHADEMA na siyo wewe. Mkifanya ujinga wa kudhani nyie ndiyo wenye mamlaka ya kuweka ''kiongozi sahihi'' na siyo wanachama na wapenzi wa chama basi mjue mnajiangamiza wenyewe.
Katika uchaguzi wa ndani wa CCM mwaka 1995 nafasi ya uRais mgombea aliyekuwa na nguvu sana wakati huo alikuwa John Samwel Malecela.

Mwl Nyerere alitambua iwapo jina la John Malecela lingepata nafasi ya kugombea hakika angeshinda asubuhi.Kilichotekea jina lilitupwa.

Jina la John lingeachwa angechaguliwa,je Mwl alikuwa mpumbavu !.Ni wazi alitambua wanachama kuna wakati wanakosea.

Hii nchi kuna wakati ingeweza kutawaliwa na Lyatonga Mrema ambaye kwa vigezo vya kawaida hastahili hata kuongoza wilaya.
 
Kiongozi anayekubaliwa na wanachama na mashabiki sio lazima awe kiongozi sahihi. Mtu kutoa mawazo mbadala sio dalili kuwa hana nia njema na chama husika. Tunahitaji uhuru wa kutoa mawazo ( hata yale yasiyotupendeza) ili uamuzi ufanywe kwa uelewa zaidi. Kuonyesha mapungufu ya Lissu hakumaanishi kuwa hao wengine ni malaika. Tunachotaka ni kuwa aamuzi utakaofikiwa ufanywe kwa uelewa hata kama sio sahihi.

Amandla...
 
Uko sahihi kabisa. Mrema alipendwa na wengi lakini on hind sight angekuwa disaster.

Amandla...
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Poa. Una huo Uhuru mkuu, Kwanza Kura ni siri
 
Kiongozi anayekubaliwa na wanachama na mashabiki sio lazima awe kiongozi sahihi. Mtu kutoa mawazo mbadala sio dalili kuwa hana nia njema na chama husika. Tunahitaji uhuru wa kutoa mawazo ( hata yale yasiyotupendeza) ili uamuzi ufanywe kwa uelewa zaidi. Kuonyesha mapungufu ya Lissu hakumaanishi kuwa hao wengine ni malaika. Tunachotaka ni kuwa aamuzi utakaofikiwa ufanywe kwa uelewa hata kama sio sahihi.

Amandla...
Ni hivi: Mimi hata siku moja sitakataa watu wengine kutoa mawazo yao. Ila mawazo yanapotolewa kwa sababu za kibinafsi i.e. maslahi binafsi, basi nitalaani kwa nguvu zote. Najua ni nini kinachoendelea CHADEMA kwa undani ndiyo maana nimesema hivyo. CHADEMA inavugwa na fedha na makubaliano kati ya Mbowe na Samia kwa maslahi yao binafsi. Mimi nilikuwa muumini wa Mbowe muda wote,
 
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato.

Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba mpya.

Baada ya uchaguzi wa 2020 mwakani tutakuwa na uchaguzi wa mkuu mwingine 2025.Niweke wazi kabisa iwapo chadema watamsimamisha Lissu kura yangu itakwenda kwa mgombea mwingine wa chama cha upinzani.Kamwe sitampigia kura Lissu.

Lissu hana busara.
Lissu hana subira.
Lissu kajaa papara.
Lissu anajijali mwenyewe.
Lissu ukiondoa migogoro hajui siasa.
Pole 2025 mpigie utakayemwona anafaa, ndo demokrasia
 
Back
Top Bottom