LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa chezea pesa za abdulNi hivi: Mimi hata siku moja sitakataa watu wengine kutoa mawazo yao. Ila mawazo yanapotolewa kwa sababu za kibinafsi i.e. maslahi binafsi, basi nitalaani kwa nguvu zote. Najua ni nini kinachoendelea CHADEMA kwa undani ndiyo maana nimesema hivyo. CHADEMA inavugwa na fedha na makubaliano kati ya Mbowe na Samia kwa maslahi yao binafsi. Mimi nilikuwa muumini wa Mbowe muda wote,
Nani kakuambia CHADEMA watamsimamisha Lisu? Lisu sio presidential material. Yeye anafaa zaidi uwaziri mkuu. Hata kwenye chama cheovalichonacho ndicho kinamfaa au awe Katibu Mkuu lakini sio Mwenyekiti.Najua watakuwepo wagombea wengi labda Zitto au Hashim Ubwabwa wanaweza kupata kura yangu.
Ni haki yake lakini wa mwache hakuna sababu ya kumzuia au kumpinga gentlemanGentleman,
ila kusema ukweli muungwana ana tamaa na uchu wa madaraka sana dah!
yaani mtu asubuh anatangaza kugombea umakamu mwenyekiti taifa kwa unyenyekevu mkubwa, halafu jioni anatangaza kugombea uenyekiti kamili dah 🐒
hajazuiwa na yeyeto ispokua Lazima atambue kwamba siasa ni sayansi ya makelele na mdomo tu,Ni haki yake lakini wa mwache hakuna sababu ya kumzuia au kumpinga gentleman
Hata saa100 kuna watu huko ccm wanaona nao wanauwezo wa kuongoza wachuane naye
Ova