Pre GE2025 Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukishaona ID anajiita mzalendo, au ndani ya andiko kuna MTU anajiita mzalendo ujue ni mpumbavu WA Kijani. Wanakua na maandiko marefu yaliyojaa upumbavu. This one is one of them
Mwenyekiti wa CCM anapatikanaje?
 
Chadema wana uwezo mkubwa sana wa kuongoza nchi kuliko ccm. Acha propaganda za kipuuzi. Na ndio maana nchi haisongi mbele kutokana na fikra matope kama zako. Angalia nchi zote zenye ushindani wa vyama kupokezana kuongoza Dola zilivyosonga mbele kimaendeleo.
Hawa nyoka wa kijani bhana hawa akili
 
Hata waliokuwa wanafaidika na Utawala wa KANU hapo Kenya walikuwa wanakuja na uchambuzi kama huuhuu.
Chadema wazee wa mfumo imara lakini wao wanamwamini mtu imara mbowe maana Kila siku wanaamini ni yeye tu ndo anaweza wavusha
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Sio kweli bro! Uongozi, nchi kwa nguvu ya, chama! Hata hao, ccm, kinachowapa, kibri ni vyombo vya dola tu, ingekuwa kuendesha serikali kunategemea nguvu binafsi au, ya chama, wale vijana wa Senegal, waliokuwa wafanyakazi, wa idara ya mapato, wakaanzisha chama cha siasa, wakajaribu kugombea udiwani wakashindwa, wakafungwa, Leo hii ndio wamekuwa Rais na wazir mkuu wa Senegal, vijana ambao hawajawahi kuwa hata ma waziri achilia mbali kuchaguliwa kuwa wabunge!
 
CCM ni janga, kuendelea kutawaliwa na hawa jamaa ni kujikatia rasmi tiketi ya Ujinga na Umaskini wa kutupwa nchini kwetu.
CCM ni madalali wa mali zetu, tushituke watanganyika.
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Sawa tumekusikia porojo zako

Next time andika jinsi mifumo ya ccm walivyoshindwa kuongoza nchi mpaka kuzalisha masikini Kila siku badala ya kutengeneza matajiri Kila siku kama ilivyo china na Singapore

Pili Andika kuhusi ubovu wa katiba hii na namna tutakavyopata katiba mpya
 
Hii lugha ya CHADEMA kupewa serikali inatokea wapi? Unajua chama cha siasa kinapataje dhamana ya kuongoza nchi na kuunda serikali? Tunasema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Basi wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wao kupitia uchaguzi huru na wa haki. Kwa namna hiyo chama kinachopata kura nyingi zaidi za uRais ndicho huunda serikali.

Si ajabu ukiwa CCM huwezi kufahamu hilo baada ya miaka mingi ya kujitwalia madaraka kwa nguvu ya vyombo vya dola kinyume na kura halali za wananchi. Ndio maana mnaamini katika kupeana serikali !

Yote uliyoandika yatawekwa sawa na katiba makini ya taifa. CHADEMA wanapigania kuandaliwa kwa katiba mpya itakayohakikisha uongozi wa nchi unazingatia misingi ya demokrasia, utawala bora, utawala wa katiba na sheria, utawali wa haki. Katiba hiyo ndiyo itakayodhibiti utendaji wa viongozi wanaokuwa madarakani.

Kwa akili yako unafikiri ni kiongozi aliyeko madarakani ndiye atakayemua kila kitu: akae madarakani muda gani, amteue nani na kumfukuza nani kwa mapenzi yake, auze rasilimali za nchi kama anavyopenda. Hayo ni mambo ya CCM inayong'ang'ania Rais ndiyo aendelee kuwa na madaraka ya kuteua kila mtendaji na kutumia rasilimali za nchi kama anavyotaka.

Huo ni uchambuzi mfu. Halafu haya mambo ya kupeana tuwaachie waKenya. Hata wao siku hizi hawafanyi hivyo kwenye siasa labda kwenye mambo ya mitaani. Kinachotakiwa Tanzania ni uchaguzi huru na wa haki ili wananchi waamue wenyewe kama CHADEMA wanafaa au hawafai kuongoza nchi. Tunatakiwa kuachana na huu ujinga wa kufikiria nani anafaa au hafai kuongoza. Hiyo ni kazi ya wananchi kuamua.
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Sijaona la maana lolote ulilo Andika hapo mimi pia sio CDM ila sidhani kuna chama chochote kitaendesha nchi kile kinavyotaka kama wana nchi hawakikubali. Ndiyo maana CCM ina kaa kimabavu na CDM kama itakwenda kinyume na wananchi wanavyotaka basi itabidi nacho kikae kimabavu ila mabavu huwa hanamwisho wake.
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Mkuu upo Sawa chadema hili wasijifiche kwenye mfuko wa koti wakati hata kiganja chenyewe tu hakitoshi. Chadema wanaamini bila mbowe chadema itakufa!! Binafsi siamini katika fikra mfu za namna hiyo

Na kwa mazingira kama hayo yanatosha kabisa kuwaondolea sifa ya kupewa nchi. Haiwezekani Kila anaye fikiria nafasi ya mwenyekiti anaonekana msaliti
 
Usisahau ccm wanapiga chapuo fomu ya urais ichapwe moja.
Huu ndo udhaifu mwingine wa baadhi ya wafuasi au viongozi wa chadema
Kutaka kujilinganisha na Ccm

Sasa Kama mnataka kujilinganisha na Ccm au kuwa sawa nao
Kuna haja gani ya kuwapa nchi si Bora wabaki wao Wana angalau uzoefu wa kuongoza
 
Hata waliokuwa wanafaidika na Utawala wa KANU hapo Kenya walikuwa wanakuja na uchambuzi kama huuhuu
Sikutegemea uje hoja dhaifu namna hii
Anyway ndo fikra zilizopo Cdm kwa Sasa
Mnataka kujilinganisha badala ya kujiiimarisha na kuboresha Mifumo yenub
ila kujali mazingira ya nchi husika
 
Chairman wao ni money oriented...tukimpa nchi tutauzwa labda chairman awe Lissu
Huo ndo udhaifu nausemea mkuu
Haiwezekani Mfumo wa Chama utegemee MTU kwenye mfumo wake wa kipato
Hapo demokrasia itaathirika kwa sababu nani atathubutu kupingana na MTU anayefadhili chama
Kesho tukiwapa nchi huyo MTU akitaka kujilipa ?
 
Pumba ya mchele hii haina kirutubisho chochote.
Sikulaumu mkuu kuwa na uwezo mdogo wa kujenga hoja
Ila nalaumu Mfumo wa cdm kushindwa kuandaa vijana wenye uwezo wa kujenga hoja

Mfumo wa kuandaa vijana wa chama wenye uwezo nao unahitaji Sana mabadiliko
 
Back
Top Bottom