Nasimama na Mkuu wa mkoa wa Dar, kutukumbusha kuwajibika

sasa nawewe kaa chini upige hesabu ya pesa ngapi serikali inatumbua kwenye vitu vya ajabu!.. kubishana nawewe ni kama kuendelea kujitia upofu tu!.
 
Sawa uchumi wa wananchi ni ngumu ila elfu 50 sioni kama ni pesa kubwa kama mtu yupo serious na amejiandaa Kwa ajili ya kupata mtoto na kumhumia mama.
Maana kuzaa ni mipango, yaani unaipanga nitapata mtoto mwezi wa 1
 
sasa nawewe kaa chini upige hesabu ya pesa ngapi serikali inatumbua kwenye vitu vya ajabu!.. kubishana nawewe ni kama kuendelea kujitia upofu tu!.
Nchi Gani we ulifika ukakuta mtu anamtuma mke wake hospitali bila hata kuchangia chochote
 
Kwanini serikali hiyohiyo ilitangaza uwepo wa huduma hixo bure?
 
Suala la kuzaa anapaswa agharamikie mzazi, sio serikali. Nchi hii haina uhaba wa watu kama Russia kiasi kwamba Serikali ihitajike kuwalipia gharama watu wanaozaa au kuhamasisha watu wazae kama huko Urusi.
 
Gloves za elfu 50 ni za dhahabu au silver.
 
Kuna Mtanzania asiyelipa chochote ? Tatizo watu hawajui hata mambo yanavyokwenda. Waambie waache kutoza Kodi kabisa uone kama kuna atakayelalamika, hata hilo daladala au bajaji aliyopanda huenda gharama ingekuwa nusu na mpesa aliyotumiwa angetoa zaidi kama hakuna Tozo; By the way hata Afya kuna BIMA hence Serikali inazidi kupunguza matumizi..., No wonder zinabakia za kununua Magoli...

Kwanini serikali hiyohiyo ilitangaza uwepo wa huduma hixo bure?
Hiyo huduma ni Bure ingekuwa kulipia ungelipia hata million
Nenda private uone
 
Kuna bure kama bure na kuna bure ya kuchangia kiasi kidogo. Lakini sasa hospital zetu huduma hafifi sana na bado wanasiasa wanawachanganya wananchi pale wanaposema huduma za mama na mtoto ni bure
Kulipa kodi haimaanishi upate huduma za bure hospital.
 
Kwanini serikali hiyohiyo ilitangaza uwepo wa huduma hixo bure?
Serikali inakosea sana inapowaambia watu kuna huduma za bure wakati sio kweli. Hata hiyo elimu inayosemwa ya bure kuna michango chungu nzima, ni lugha ya kilaghai na propaganda tu.
 
Kuna bure kama bure na kuna bure ya kuchangia kiasi kidogo. Lakini sasa hospital zetu huduma hafifi sana na bado wanasiasa wanawachanganya wananchi pale wanaposema huduma za mama na mtoto ni bure
Yusiwe na Mind hiyo aisee
Elfu 50 ni kiwango kidogo ili mkeo ajifungue
 
Tanzania watu wanafikiri kuzaa ni sifa. Kama unashindwa kulipa elfu 50 utaweza kulea? Ndio hawa hawa wakikua wanakuja jukwaani kusupport hoja za LIKUD kuhusu kayumba kuwa na elimu bora kuliko Ems
Watoto ni Mali ya serikali iwahudumie.. ukitaka kuamini muue mwanao uone wenye mtoto Wao watakavyo kuja kukushughulikia
 
Mke tena mke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mie ndo mke mwenyewe hio hela kubwa bana,watoto mali ya serikali
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…mtoto ni wako
Sema mwanao ni raia wa serikali
Wajibika Kwa mwanao, usisukume mzigo Kwa serikali
 
Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Na kwa hiyo wao hakakufanya projection ya mahitaji ya vifaa tuwachukulie wako chini ya viwango vya utendaji?
 
Watoto ni Mali ya serikali iwahudumie.. ukitaka kuamini muue mwanao uone wenye mtoto Wao watakavyo kuja kukushughulikia
Mbona serikali haigawai maziwa na nepi za kwa watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ