Kuzaa kunahitaji vitanda maalumu, wataalam n. K vyote umevikuta Bado kuchangia elfu 50 unaona kama umeombwa Jiwe la almasiUnaenda kinyume na sera ya afya, hao wanafadhili na UZAZI salama, kupunguza vifo vya mama na mtoto, pesa hizo zinaenda wapi?
Hivo vitanda wamenunua wananchi na hao wahudumu wanalipwa na wananchi sasa hiyo 50000 iende wapi ?Kuzaa kunahitaji vitanda maalumu, wataalam n. K vyote umevikuta Bado kuchangia elfu 50 unaona kama umeombwa Jiwe la almasi
Aliyeshiba hamjui mwenye njaaaBongo bhana walionacho wanawanyanyasa wasionacho kwa kejeli na dharau life goes on...
Duh!! Mimi namini nchi hii tukikupa wewe uwe raisi hivo vifaa vitatosha na huduma ya afya huenda ikawa bure…utafeli kwenye mambo makubwa ambayo marais wengi wamefeli.Uhalisia vifaa havitoshi
Inatakiwa uchangie hizo gharama, huduma ipatikane
Angeenda kwa rais kabisa.Swali nalo jiuliza uyo mama angeambiwa anafanyiwa upasuaji angepiga bado simu
Nikiwa Rais nitawatoa Watanganyika fikra za kijamaaDuh!! Mimi namini nchi hii tukikupa wewe uwe raisi hivo vifaa vitatosha na huduma ya afya huenda ikawa bure…utafeli kwenye mambo makubwa ambayo marais wengi wamefeli.
Delivery kit.Watu wanalipa kodi! Jana nimenunua umeme wa 5k wakakata VAT 750 sasa hii hela inaenda wapi?
Gloves gani zinauzwa 50k?
Mbona haizidi 25k? Hao walitaka cha juuDelivery kit.
Nasimama na chalamila..na ndio ukweli mchungu.Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua
Mimba ni miezi 9 sio suala la ghafla kama ajali,
Yaani mwanamke anavua chupi, mimba inaingia, unalea mimba miezi 9,
Hadi siku ya kujifungua unafika hospitali na uchungu hata elfu 50 huna ya kuchangia huduma
Watanganyika acheni madeko tuwajibike
Hivi kama mwanaume unajisikiaje mkeo anafikia hatua ya kujifungua na wewe upo hai hujatoa hata 100?, halafu unataka mtoto awe u bin wako
Serikali imejenga hospitals, umeajiri waganga, wauguzi na wakunga, Kuna vifaa hata unaambiwa uchangie elfu 50 unaona si haki, hadi kupiga simu Kwa mkuu wa mkoa
Hata Mimi ningekuwa mkuu wa mkoa Nina hakika ningempa jibu kama la Chalamila
Haiwezekani serikali ikufanyie kila kitu aisee
Huko kwenye elimu ndo balaa, wazazi walivyoambiwa elimu Bure, hawawajibiki Kwa lolote, anatamka asbh mtoto anamtuma shule
Mzazi hajui hata bei ya kitabu, akiombwa mchango wa masomo ya ziada, analalamika hadi Kwa Rais Samia, Sasa hizi akili za wapi?
Watanzania tujikumbushe wajibu wetu
Hapana ni pesa ya kawaida kabisa watu wanajifungua mpaka 1mMbona haizidi 25k? Hao walitaka cha juu
Kujifungua si bure lakini? Sasa hiyo mpaka 1M kwenye hospital ya serikali imefata nini? Kwanini ufananishe na hospital ya privateHapana ni pesa ya kawaida kabisa watu wanajifungua mpaka 1m
Tuache kulia Lia tatizo labda ni UMASKINI
naogopa Sana UMASKINI ni hatari Sanaa
Hapo lugalo tu pesa ni zaidi ya 50k
Ujifunze kuchangia huduma mkuu other wise sisemi.Kujifungua si bure lakini? Sasa hiyo mpaka 1M kwenye hospital ya serikali imefata nini? Kwanini ufananishe na hospital ya private
Chalamila anawambia ukweliChalamila anazidi kuropoka,juzi tu hata miezi miwili haijapita alisikika akisema wanaume wanaouza uduvi wataolewa!
Muuza uduvi kweli,na familia yake wakimsikiliza Mkuu wa mkoa anasema maneno hayo si ni fedheha kubwa!
Huyo aliyempigia kuhusu kujifungua ni Wazi ana uwezo mdogo,mtu asiyekuwa na shida ndogo ndogo hawezi kujihangaisha kumpigia Mkuu wa mkoa kuhusu gloves!
Watu Wana hali Ngumu za kimaisha,Vitendo vya kuwatweza UTU wao kama huyu Mkuu wa mkoa anavyotaka kuzoea kunapaswa kupingwa,sio Haki.
Kama huwezi kumsaidia mtu,usimuumize.
Unaongea hivyo kwasababu wewe una pesa hiyo 50k kwako si kitu.Ujifunze kuchangia huduma mkuu other wise sisemi.
I stand with chalamila.
Umetumia akili hata kidogo? Serikali hela ya kujenga hivyo vyote imetoa wapi? Kama hujui hela hizo serikali imetoa kwa wanachi hao hao mnaowatukana. Acheni ujinga nyinyi.Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua