Nasisitiza, itungwe Sheria kubeba Mimba bila ridhaa ya Mwanaume liwe kosa la jinai

Nasisitiza, itungwe Sheria kubeba Mimba bila ridhaa ya Mwanaume liwe kosa la jinai

Kuna wale wanaobeba mimba bila kutarajia wakiwemo wanafunzi, huwa najiuliza kuwa hawana elimu ya uzazi na mahusiano?
 
Wanaume tusiwe watu wakukimbia majukumu kumwaga una mwaga wewe unachagua wewe umwagie wapi sasa una mwagia ndani kitu kinapo jipa mnaaza nitafutenitafute
 
Wajinga kama wewe wapo wengi sana duniani.

Kama wajinga kama Mimi tungekuwa hata robo ya dunia usingeona Kesi yoyote Mahakamani Wala ustawi wa jamii kuhusu matunzo ya watoto

Lakini kwa vile ninyi wenye Akili mmetunga Sheria za kijinga na za dhulma. Ndio maana unaona ukatili, ukandamizaji na utesaji wa watoto na wanaume
 
Ukute umemtia mtu mimba bila kutarajia, hujampenda wala huna mpango wa kuishi nae, anakuganda ulee mimba hiyo mwanzo hadi mwisho na mtoto akizaliwa utoe matunzo. Ukute una mke siri ikifumka inazalisha mgogoro wa ndoa
 
Wewe maoni yako ni yapi?

Umelala na mwanamke Kahaba mkiwa Bar. Lengo lenu ni kustarehe, umeoa na unafamilia.
Baada ya mwezi Yule Mwanamke anakuambia anamimba yako.

Je utakuwa umetendewa HAKI?
Kama umeoa kwanini usitulie na mkeo..?
 
Wanaume tusiwe watu wakukimbia majukumu kumwaga una mwaga wewe unachagua wewe umwagie wapi sasa una mwagia ndani kitu kinapo jipa mnaaza nitafutenitafute

Majukumu yanatokana na kitu kunaitwa HAKI.
Ukishaigusa na kuathiri Haki automatically umeathiri majukumu na wajibu wa Mtu.

Unajua maana ya HAKI?

Kufanya tendo la ndoa sio tuu kwaajili ya mambo ya uzazi.
Ndio maana Sisi Watibeli tunanguzo ya akili. Akili Kazi yake ni kuchambua, kuchakata, kukumbuka, kutathmini, kuamua, kuelewa n.k.

Ukiwa na akili ndogo utafikiri ngono ipo kwaajili ya kuzaa tuu
 
Ukute umemtia mtu mimba bila kutarajia, hujampenda wala huna mpango wa kuishi nae, anakuganda ulee mimba hiyo mwanzo hadi mwisho na mtoto akizaliwa utoe matunzo. Ukute una mke siri ikifumka inazalisha mgogoro wa ndoa

Mimi nazungumzia mambo yanayoendelea kwenye jamii na yanayotokea watu wengi Sana.

Sio lazima uwe umeoa.
Mwanamke kabla hajabeba Mimba lazima muwe mumewekana Sawa kabisa kuwa tendo mnaoenda kulifanya sio kwaajili ya kuleta Mtoto.

Kinyume na hapo dhulma ipo mlangoni inabisha
 
Huyo Mungu atakuwa Fala Sana kufanya tukio kama Hilo.

Mchakato ulikuwa hivi;
1. Mungu amtuma Malaika Gabriel kwa Mariamu kumpa ujumbe kuwa atapokea ugeni katika tumbo lake la uzazi. Hivyo asishangae lakini pia anaridhaa ya kukubali au kukataa.

2. Malaika Gabriel anamtokea Mariam anamjulisha taarifa hiyo ili mariam ajue na akubali Jambo hilo

3. Mariam anakubali na anapewa masharti kadhaa

Wewe hayo yako umetolea wapi?

Mungu wa watibeli ni mwenye HAKI. Hawezi kufanya Jambo kama hilo
Achana naye huyo kenge.. Ujuaji mwingi lakini anachokijua ni pumba za madrassa tu..
 
Sheria zinaeleza kuwa Kutembea na mtoto mdogo ni dhulma, ubakaji. Na adhabu zake zipo.
binti wa sekondari form three au six ni mtoto mdogo? Japo form six huwa hawapati mimba kizembe. Hawa form one mpaka four mimba wanazipata sana tu. Kimaumbile kama mtu anaweza kupata mimba huyo si mtoto tena ni mtu mzima
 
Kama umeoa kwanini usitulie na mkeo..?

Inategemea na makubaliano yetu/Yao.
Pili Kuoa ni Jambo Moja na kufanya ngono ni Jambo la Pili.

Kufanya ngono ni Jambo Moja, na kuoa ni Jambo la Pili.

Vipi kwa ambaye hajaoa?

Kila mtu anahaki ya kuwa na mahitaji yake ya Kimwili, Kihisia, Kiroho na kiakili.
Wapo ambao mwanamke Mmoja hatoshi kulingana na mahitaji Yao.
Wapo wengine mwanamke Mmoja anatosha

Yote hayo hayazuiwi na HAKI. Kumbuka Haki lazima iendane na akili, upendo na Ukweli.

Wapo ambao hata huyo mwanamke Mmoja hawamhitaji
 
Kulala na mwanamke ambaye hajataka umkojolee ndani wewe ukafanya hivyo. Huo ni ubakaji.
Kesi yake inajulikana na ipo wazi
Sidhani kama kulala na mwanamke ambaye hajataka kukojolewa ndani ni ubakaji, ubakaji ni kumuingilia mwanamke ukeni bila ridhaa yake.

Ila kubeba ujauzito yawe makubaliano ya wawili, short of that ni makosa.
 
binti wa sekondari form three au six ni mtoto mdogo? Japo form six huwa hawapati mimba kizembe. Hawa form one mpaka four mimba wanazipata sana tu. Kimaumbile kama mtu anaweza kupata mimba huyo si mtoto tena ni mtu mzima

Hapo juu nilifafanua kuwa kosa linaweza kutokana na mambo yafuatayo
1. Kumuonea na kumuumiza mtendwa
2. Kulingana na Sheria zilizowekwa.

Unaweza kufungwa kwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa Shule ya msingi au sekondari mwenye umri wa Miaka 20
 
Inategemea na makubaliano yetu/Yao.
Pili Kuoa ni Jambo Moja na kufanya ngono ni Jambo la Pili.

Kufanya ngono ni Jambo Moja, na kuoa ni Jambo la Pili.

Vipi kwa ambaye hajaoa?

Kila mtu anahaki ya kuwa na mahitaji yake ya Kimwili, Kihisia, Kiroho na kiakili.
Wapo ambao mwanamke Mmoja hatoshi kulingana na mahitaji Yao.
Wapo wengine mwanamke Mmoja anatosha

Yote hayo hayazuiwi na HAKI. Kumbuka Haki lazima iendane na akili, upendo na Ukweli.

Wapo ambao hata huyo mwanamke Mmoja hawamhitaji
swala la kuzingatia mimba ni 50 kwa 50 sidhani kama ke pekeyake ndo anatakiwa kuhojiwa.
 
Majukumu yanatokana na kitu kunaitwa HAKI.
Ukishaigusa na kuathiri Haki automatically umeathiri majukumu na wajibu wa Mtu.

Unajua maana ya HAKI?

Kufanya tendo la ndoa sio tuu kwaajili ya mambo ya uzazi.
Ndio maana Sisi Watibeli tunanguzo ya akili. Akili Kazi yake ni kuchambua, kuchakata, kukumbuka, kutathmini, kuamua, kuelewa n.k.

Ukiwa na akili ndogo utafikiri ngono ipo kwaajili ya kuzaa tuu
Matokeo ya ngono ni yapi?
 
Sidhani kama kulala na mwanamke ambaye hajataka kukojolewa ndani ni ubakaji, ubakaji ni kumuingilia mwanamke ukeni bila ridhaa yake.

Ila kubeba ujauzito yawe makubaliano ya wawili, short of that ni makosa.

Hata kwenye tendo wakati mnafanya, kuna mambo mwanamke anaweza kutokupa ruhusa kuyafanya mathalani, kumshika matiti , kumkojolea ndani, kumshika makali n.k. Endapo utakiuka makubaliano hayo tayari utakuwa upo kwenye ubakaji.

Kwa wanaume, Sisi wanaume kuna sehemu hatutaki wanawake watushike, ikitokea ameshika tena kilazima na makusudi tayari inakuwa kinyume na makubaliano. Hivyo anakuwa anakukosea
 
swala la kuzingatia mimba ni 50 kwa 50 sidhani kama ke pekeyake ndo anatakiwa kuhojiwa.

Kisheria, mhanga ndiye Mhusika Mkuu.
Ndio maana hata uzazi wa Mpango asilimia tisini zile Njia zinamhusu mwanamke. Unajua ni Kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom