Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Na kulala na mwanamke na kumkojolea ndani huku ukitarajia habebi mimba iwe kifungo Cha maisha
Wajinga kama wewe wapo wengi sana duniani.
Kuna wale wanaobeba mimba bila kutarajia wakiwemo wanafunzi, huwa najiuliza kuwa hawana elimu ya uzazi na mahusiano?
Hapo sawaKulala na mwanamke ambaye hajataka umkojolee ndani wewe ukafanya hivyo. Huo ni ubakaji.
Kesi yake inajulikana na ipo wazi
Kama umeoa kwanini usitulie na mkeo..?Wewe maoni yako ni yapi?
Umelala na mwanamke Kahaba mkiwa Bar. Lengo lenu ni kustarehe, umeoa na unafamilia.
Baada ya mwezi Yule Mwanamke anakuambia anamimba yako.
Je utakuwa umetendewa HAKI?
Wanaume tusiwe watu wakukimbia majukumu kumwaga una mwaga wewe unachagua wewe umwagie wapi sasa una mwagia ndani kitu kinapo jipa mnaaza nitafutenitafute
Ukute umemtia mtu mimba bila kutarajia, hujampenda wala huna mpango wa kuishi nae, anakuganda ulee mimba hiyo mwanzo hadi mwisho na mtoto akizaliwa utoe matunzo. Ukute una mke siri ikifumka inazalisha mgogoro wa ndoa
Achana naye huyo kenge.. Ujuaji mwingi lakini anachokijua ni pumba za madrassa tu..Huyo Mungu atakuwa Fala Sana kufanya tukio kama Hilo.
Mchakato ulikuwa hivi;
1. Mungu amtuma Malaika Gabriel kwa Mariamu kumpa ujumbe kuwa atapokea ugeni katika tumbo lake la uzazi. Hivyo asishangae lakini pia anaridhaa ya kukubali au kukataa.
2. Malaika Gabriel anamtokea Mariam anamjulisha taarifa hiyo ili mariam ajue na akubali Jambo hilo
3. Mariam anakubali na anapewa masharti kadhaa
Wewe hayo yako umetolea wapi?
Mungu wa watibeli ni mwenye HAKI. Hawezi kufanya Jambo kama hilo
binti wa sekondari form three au six ni mtoto mdogo? Japo form six huwa hawapati mimba kizembe. Hawa form one mpaka four mimba wanazipata sana tu. Kimaumbile kama mtu anaweza kupata mimba huyo si mtoto tena ni mtu mzimaSheria zinaeleza kuwa Kutembea na mtoto mdogo ni dhulma, ubakaji. Na adhabu zake zipo.
Kama umeoa kwanini usitulie na mkeo..?
Achana naye huyo kenge.. Ujuaji mwingi lakini anachokijua ni pumba za madrassa tu..
Sidhani kama kulala na mwanamke ambaye hajataka kukojolewa ndani ni ubakaji, ubakaji ni kumuingilia mwanamke ukeni bila ridhaa yake.Kulala na mwanamke ambaye hajataka umkojolee ndani wewe ukafanya hivyo. Huo ni ubakaji.
Kesi yake inajulikana na ipo wazi
binti wa sekondari form three au six ni mtoto mdogo? Japo form six huwa hawapati mimba kizembe. Hawa form one mpaka four mimba wanazipata sana tu. Kimaumbile kama mtu anaweza kupata mimba huyo si mtoto tena ni mtu mzima
swala la kuzingatia mimba ni 50 kwa 50 sidhani kama ke pekeyake ndo anatakiwa kuhojiwa.Inategemea na makubaliano yetu/Yao.
Pili Kuoa ni Jambo Moja na kufanya ngono ni Jambo la Pili.
Kufanya ngono ni Jambo Moja, na kuoa ni Jambo la Pili.
Vipi kwa ambaye hajaoa?
Kila mtu anahaki ya kuwa na mahitaji yake ya Kimwili, Kihisia, Kiroho na kiakili.
Wapo ambao mwanamke Mmoja hatoshi kulingana na mahitaji Yao.
Wapo wengine mwanamke Mmoja anatosha
Yote hayo hayazuiwi na HAKI. Kumbuka Haki lazima iendane na akili, upendo na Ukweli.
Wapo ambao hata huyo mwanamke Mmoja hawamhitaji
Matokeo ya ngono ni yapi?Majukumu yanatokana na kitu kunaitwa HAKI.
Ukishaigusa na kuathiri Haki automatically umeathiri majukumu na wajibu wa Mtu.
Unajua maana ya HAKI?
Kufanya tendo la ndoa sio tuu kwaajili ya mambo ya uzazi.
Ndio maana Sisi Watibeli tunanguzo ya akili. Akili Kazi yake ni kuchambua, kuchakata, kukumbuka, kutathmini, kuamua, kuelewa n.k.
Ukiwa na akili ndogo utafikiri ngono ipo kwaajili ya kuzaa tuu
Sidhani kama kulala na mwanamke ambaye hajataka kukojolewa ndani ni ubakaji, ubakaji ni kumuingilia mwanamke ukeni bila ridhaa yake.
Ila kubeba ujauzito yawe makubaliano ya wawili, short of that ni makosa.
swala la kuzingatia mimba ni 50 kwa 50 sidhani kama ke pekeyake ndo anatakiwa kuhojiwa.