Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Yaani wanaume sijui mpoje yaani kwamba inamaana kwamba kama sina bikra ndio iwe tiketi ya kumpa kila ataeomba sasa nikifanya hivyo si nitajaza kijiji
Sasa ni kwanini huna bikra wakati huna mume?
 
Sasa Kama tayari ulishapoteza ubikra kwanini umnyime?

We jiandae kuachwa tu kwa sababu sidhani Kama huyo jamaa ataendelea kukuvumilia wakati wanawake wako wengi Sana mitaani
 
Siyo sijiamini dear mambo yamebadilika siku hizi mtu anakudanganya anakupendaa kumbe ana upwiru akipiga anapita hivi sasa ndugu nitatifuliwatifuliwa na kila mwanaume?
Ila kama hupendi kuliwaliwa hovyo unaweza kuwa waifu matirio.

Mfanyie intavyuu kiundani sana ujue ukweli wake kuhusu kukuoa. Ukihakikisha ni mkweli mpe tunda. Ukimnyima atajua hujamuelewa au unatifuliwa sana na mwingine, hivyo atasepa chap
 
Wanafalsafa wa JF bhana..

Leo..sex sio kila kitu kwenye ndoa..

Kesho..sex ndo kila kitu kwenye ndoa

Tushike lipi??..
 
Ngoja ,sasa nikupe kichambo cha yombo msukuma ndio nikushauri, kadada kenyewe kabaya sura kama baba yaga kwenye filamu ya hell boy,miguu kama miti ya genge la mwananyamala,mkwapani unanuka harufu ya vitunguu vinavyoanza kuoza ,alafu unataka kumnyima mwenzio ,ebu mpe, eti akuwoe kwa shepu gani kama sabuni ya kuogea ya rungu, rangi haieleweki mweupe au mweusi kama kombati ya jeshi, mh. Subiri kwanza hapo nimeweka nukta utakuta chini kunanuka unaogopa ukimpa atakimbi ,au ukute ni bwawa la mwalimu nyerere unataka kumbakia kijana wa watu siku hizi tuna test mitambo kwanza ndio tunaoa mh ,bado sija maliza kenge wewe mchoyo wamekutumia wangapi bibi kizee wewe ndo ukamnyime kijana wa watu ,mchambia upupu we haya sasa natoa ushauri akija kila siku mwambie upo period
 
Ningekuwa mm ningekuuliza swali Moja tu, tangia uzaliwe hujawahi kusex??

Ukisema ndio, hiyo ndo tiketi Yako ya ndoa.. ukisema umewahi suala lako lakukataa halina mantiki kwangu na yaweza kuwa mwanzo wakupotea mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…