Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

Wewe ni bikra?
 
Dume/dada linaendesha ID ya kike uzi unafikisha reply 296 page 15. 🀣 🀣 Nitachoma moto watu mimi
 
Foolish yani huna bk unataka kumnyima mtot wa watu utamu kuna binti ivo ivo nashukuru Mungu alinitenganisha nae yule kiumbe saiv kachaka mpaka anaona aibu
 
Upo around 28 halafu unakuja kutafuta attention na maoni ya watu humu. Mwanamume mwenye Nia ya kukuoa anajulikana. Kama akitaka kulimega hilo tunda muachie tu. Kwa umri wako huo Upwiru ukikuzidi huwa mnakuwaga na vitabia ambavyo ni vya hovyo hovyo, Kisirani, ukifanya jambo hufanyi kwa ufasaha. Kwanza kwa kipindi chote hicho Cha miaka 6 hujawahi kumegwa kisela na watu wengine? Na kama ulimegwa kwa nini kwa Mshikaji hutaki ? Kama nilivyosema Wewe unatafuta attentions za watu tu humu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…