Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.

Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.

Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.

Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.

Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.

Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫

Update
Wakati dunia ikishangilia makubaliano ya amani kati ya Hezbollah na Israel watu hawajuwi kuna msiba mkubwa unakuja baada ya mkuu wa Taifa moja kuwa ktk hali ya koma baada ya kuona kama kazi yote alifanya nakuapa 2030 hapatakuwa na taifa la Israeli kazi hiyo imefutwa pesa nyingi imetumika na kila akili wametumia vyote vimeharibiwa hakuna kilichosalia. Adui amenyoosha mkono na kwa siri mtoto wakiongozi huyo kwa siri wameomba amani na Israeli japo israel hawajamaliza kazi mpaka wasikie mzee roho amekata watakuja mbele ya vyombo nakusema Mungu amewajibu maana inasemekana Mzee huyo ndie alie panga na kuhakikisha Waisrael wanauwawa japo hakujuwa kama jambo lile lingeleta maumivu makali kwa taifa na watu wakaribu wote. Wakati hayo yanaendelea Mrusi nayeye anafikia mwisho just keep cool and silence mossad and cia on very tough job. Jaman tusomeshe haya ni matunda ya investment ktk elimu.
 
tapatalk_1714657484643.jpeg
 
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.
Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani. Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme n majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.
Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.
Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.
Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Sasa hapo unajichanganya mambo ya imani ya reality hapa mashariki ya kati ni tofauti.

Kwanza hao iran hawaamini katika imani wanayoamini Israel.

Pili kwa nature ya sasa Iran haiwezi kuishinda Israel maana USA anamsaidia bega kwa bega ni kama mama na mtoto

Tatu kitekinolojia iran yupo nyuma sana bado kuweza kumfikia huyo israel.

Kinachowaponza waarabu na wapersia ni hulka za jazba na panic yao hawajui kuwa na subra km simba hadi chakula kikae target.
 
Ilitabiriwa silaha za nuclear zitatumika 2024,

Ole wao Nchi tajiri za Africa zenye akili za kimaskini na tegemezi.

Muhimu ni kuwa tayari Kwa wakati unaofaa na wakati usiofaa.

Umebarikiwa sana Islael, mzaliwa wa kwanza wa Mungu aliye juu,

Umebarikiwa sana Tanzania, Nchi ya AGANO la mwisho.

Aamin
 
Israel mimi bado sijaielewa kabisa, hivi hili huwa ni taifa au ni kabila. Maana kuna mataifa mengi ni kama yanaongozwa na waisrael au Wayahudi mfano Marekani sehemu nyingi muhimu wameshika wayahudi na hata mataifa makubwa makubwa ya ulaya ni the same. Ni dhahiri ukipigana na Israel ni kama unapigana na mataifa karibu yote ya magharibi maana ndugu zao wapo kule na ndio wenye ushawishi.
 
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.

Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.

Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.

Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.

Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.

Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
Vita sio siasa uchwara za bongo,....ulete utabiri wako hapa wa kiCCM kumbe ulikua kwenye vikao,..,.....yaani Israel hii hii inayopewa misada na U.S,ndio uwezo wake analeta mungu?
Kwanza huyo mungu wenu , Israel hana maana,kule ni Bora uislam kuliko ukristo wenu kanjanja wa kuwaneemesha viongozi wa dini wanaowaombea kwa mungu wa Israel mununue Magari huku wao wakichukua sadaka zenu.
Screenshot_20241004-184152.png
 
Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe.

Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani.

Israel amemtwaa mchezesha ngoma na hii nikwasababu amefanya makosa yale yale walio yafanya wafalme na majemedari wengine wakivita kuamini wanaweza kuitowesha israel ktk uso wa dunia.

Israel sio Taifa ila ni Mungu na wanadam. Yaani hata dunia nzima tuungane pigana na Israel nataka nikuhakikishie hapatakuwepo mshindi ila Israel watashinda.

Naomba JamiiForums msifute thread yangu kama mlivyofuta ile ya Mkuu wa HEZBOLLAH leader Hassan Nasrallah.

Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei ametangaza jambo litampoteza kwenye uso wa dunia maana ilisha andikwa anaye ilaani Israel nikama amejilaani mwenyewe sasa Mungu wakati wote anangalia neno kulitimiza hii itatosha zaidi. Stay tune stay silent 🤫
siungi mkono maneno ya ayatollah wakati huohuo nakuona kama taahira kusema sijui israel taifa la Mungu. hivi mnakua na akili timamu?
 
Sasa hapo unajichanganya mambo ya imani ya reality hapa mashariki ya kati ni tofauti.

Kwanza hao iran hawaamini katika imani wanayoamini Israel.

Pili kwa nature ya sasa Iran haiwezi kuishinda Israel maana USA anamsaidia bega kwa bega ni kama mama na mtoto

Tatu kitekinolojia iran yupo nyuma sana bado kuweza kumfikia huyo israel.

Kinachowaponza waarabu na wapersia ni hulka za jazba na panic yao hawajui kuwa na subra km simba hadi chakula kikae target.
Mbona Iran anasaidiwa na china Russia na Korea Ili kumchangia myahudi
 
Back
Top Bottom