Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Hili halitakuja litokee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili halitakuja litokee..
Una akili Sana. Uraisi wa Tz unaenda kwa kupokezana MKRISTO na MWISLAM.Next term ni zamu ya Uislam, sasa kama huyo anayetaka kubadili katiba ataslimu hapo sawa"Alisikika MNEC mmoja pale Dodoma "
Hakika hawa wapumbafu wanatekwa wanabambikiwa kesi na bado wanafisu jiweKwa Tanzania na unafik wake hilo mbona dogo? Ila time tells
Nini wewee mkaldayo Jikite kwenye mada wewe Acha porojo jamviniWeka hoja zenye mashiko wacha blah blah!
Mzungu mmoja aliwahi kuniambia viongozi wa Tanzania wanaongoza maiti.Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili...
Wapambe basi poa. Tunasubiri. Labda Mungu awe amelala ache haya yatokee. Kiufupi tunataka Taifa linaongozwa Kwa misingi ya Sheria. Kujiongezea muda nikuvuruga Amani nakituletea ukurunzinza na ukagame.Mnahangaika kweli na JPM, Watanzania ndio wamemchagua kuwa rais wa awamu ya 5 na 6. Kama mapenzi ya Alhaji Mwinyi yatapendeza basi atapewa zawadi ya awamu ya 7 kama shukrani. Sasa hapo kuna shida gani? Hilo wala halihitaji kupigia kura yaani 2025 kutakuwa na uchaguzi mkuu wa kuwachagua wabunge tu na JPM atapewa shukrani kwa miaka mitano mingine. Kama umechukia jinyonge ndio imetoka hiyo!
Siku zote ktk maisha muogope Sana MTU asie ongea huyo muogope Sana..
Mzungu mmoja aliwahi kuniambia viongozi wa Tanzania wanaongoza maiti.
.
Watanzania hata uwafanye nn... Hawawezi kufanya kitu chochote.
Muda ni mwalimu mzuri kama utakuwa hai muda ukifika utakuja kukubali siku moja.Hii hoja bavicha ndio mnaipenda sana. Mmeshabiwa jamaa haongezi hata selinde na yeye kasema. Mbona mna ashki kiasi hicho? Anzisheni mada nyingine mpate airtime.
Comment gani hiyo imejaa uzandiki na uongo asilimia mia.Asante kwa comment iliyojitosheleza mkuu. Comment ya kufungia thread kabisa☺☺
...kwani Mkuu, ukimya uliopitiliza sio uoga?Siku zote ktk maisha muogope Sana MTU asie ongea huyo muogope Sana.
Dikteta hatakubali kuwa na katiba mpya tena
Argument yako haina mashiko."Speculation"?
Ni 'facts' zipi zinazokufanya wewe uamini hatajiongezea muda? Ziweke hapa tuzione.
Mtu akija kwako akope halafu asilipe, keshokutwa anakuja tena kukulaghai juu ya 'favor' nyingine unaendelea kuamini kwamba mtu huyo ni 'dependable na kumtimizia matakwa yake bila kuwa na wasiwasi wowote juu yake, wewe utakuwa na sababu zako za kuamini ushawishi wake huo mpya...
Itabidi wamconsult Mbowe. Maana yeye alifanikiwa kubadili katiba kimyakimya kuhusu ukomo wa mwenyekiti bila kuibua mazito yeyoteNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili...
The problem is, you are discussing the president instead of the presidency.With all due respect, the issue here is: He is not reliable. He promised 50m to every village, he promised a fair and free election, he promised and sworn to entirely uphold the constitution; but all in vain. It is very difficult through these examples, for a sober and normal mind to believe to all what he says.
Naunga mkono hoja. Tena atasifiwa sana.Kwa Tanzania na unafik wake hilo mbona dogo? Ila time tells
Unafanya kosa. Ni-address mimi sio sisi.Argument yako haina mashiko.
Let me indulge you for a moment, in "immanent critique"...
Unajichanganya.Unafanya kosa. Ni-address mimi sio sisi.
Mimi sijui hao unaowasema. Haya ni mawazo yangu na hayafungamani na mawazo ya hao ulionao akilini...