Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.

Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.

Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.

Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.

Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?

Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?

Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.

1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).

2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.

3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.

4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.

5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Hunalolote mmejikuta hamna jinsi inabidi mbadili gia angani

Miezi mitatu ya kampeni kuelekea uchaguzi wa 28 October 2020 ulitoa picha tofauti sana na iliyotegemewa na CCM

Hali ya uchaguzi imewaonyesha dhahiri shahiri kuwa hilo mkilileta mtazua balaa, sasa mnajitia kulipangua kiaina ila ulikua ni mpango mkakati wenu

Kuweni makini huo mpango ni washetani utalikost Taifa kupitia machungu yatakayo haribu utu wetu kama watanzania

CCM acheni tamaa ya madaraka mmeshashindwa
 
Hao wapambe mbona walikuwepo tangu utawala wa Nyerere.

Nyerere alitoa hotuba moja akasema kila alipokuwa akitaka kujiuzulu, wapambe wakawa wanamuambia, Mwalimu, usituache, taifa linakuhitaji sana.

Akawa anaongeza miaka mitano, anasema hii ya mwisho.

Ikiisha, wapambe wanamwambia "Mwalimu, usituache, taifa linakuhitaji sana".
Mwisho akastuka. Akagundua kwamba issue si kwamba taifa linamuhitaji.

Issue ni kwamba hao wapambe walikuwa wanamuhitaji kwa faida zao binafsi. Walikuwa hawajui rais anayekuja atakuwa nani na atakuja na watu gani.

Akawakatalia, akajiuzulu.

Kwa hiyo hizi kelele za wapambe zipo tu.

Lakini je, rais mwenyewe anataka nini?

Rais kashasema hataongeza muda.

Na hakuna factual evidence kwamba ataongeza.

Ni speculations tu.
Nimefurahi sana kwamba unalijua hilo. Unajua pia kwamba hata sarakasi nyingi za uchaguzi mkuu uliopita zimefanywa na watu kama hao, ambao wanaona mimi ni mkuu wa wilaya, mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa mkoa, na nafasi nyingine za kuteuliwa na rais, kwamba hofu ilikua asipokua huyu aliyeniteua nafasi yangu itakuwaje?
 
Yes.

Nimeandika hayo sana kama umenifuatilia hapa.

Haya mambo sikusikia kwenye hotuba tu.

Mama yangu alifanya kazi Ikulu ya enzi ya Nyerere. So kuna habari nyingine hata hazifiki magazetini tulikuwa tunapata dinner table.

Lakini ultimately, hao wapambe hawaamui rais aendelee au astaafu.

Rais ndiye anaamua.

Na Magufuli kashasema hatazidisha muda.

Na mimi sina factual reason ya kuwa na shaka katika hilo.

Kuwa na shaka katika hili ni paranoia tu.

Tumseme Magufuli kwa mabaya ambayo kayafanya. Yapo mengi sana.

Sio kuanza kutunga makosa ambayo tunafikiri atafanya miaka mitano ijayo.
 
Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.

Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.

Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.

Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.

Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?

Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?

Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.

1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).

2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.

3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.

4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.

5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.

Mleta mada ameeleza jaribio lolote la kumwongezea Muda Magufuli.
Sijaona akieleza jaribio hilo litafanyika chini ya usimamizi wa nani, au anaekusudia kufanya tendo hilo.

Wachangiaji wengi wamejikita kwa Magufuli kuwa yeye ndie atataka kuongezewa Muda.

Spika wa sasa ndiyr yuleyule wa bunge lolilopita ambaye alisema Magufuli atake asitake ataongezewa Muda.

Kwanini tusiamini kwamba kwa kauli yake hile, jambo hilo linaenda kufanyika?

Kwann tusiamini kwamba kama bunge lile ambapo ccm wengi walipiga makofi na kuunga mkono alichosema Spika, leo wapo wenyewe na wanaweza kuunga mkono hoja bila kaupinzani wowote.

Mara nyingi matokeo hupatikana baada ya mchakato. Watu wanaona mchakato unavyokwenda, kuna matokeo fulani yanakusudiwa kutokea.

Magufuli alivyosema kuwa hato ongeza muda, wkt watunga sheria wanasema watamuongezea muda atake asitake. Yeye akiwa kama mkuu wao, hakuwahi kukemea kauli hiyo, hakuonesha kuchukizwa na kauli kubwa ya mhimili mwingine ukitaka kumwongezea muda wa urais wake.

Hivyo, wkt mwingine imani inatumika kujadili jambo baada ya kuona michakato inavyo fanyika. Kama timu ya taifa haifanyi mazoezi vzr, wachezaji hawalipwi posho zao, kocha hana uzoefu na ujuzi alafu inaenda cheza na timu ya Ujerumani, unategemea nini?

Au tusubiri mpk mpira uishe?
 
Huyu mnyamulenge tumuombee tu kifo cha haraka maana kwa jinsi anavyozidi kuteua watu wake wa jalalani akina Polepole & Bashite tutegemee katiba kubadilishwa wakati wowote
 
Mkuu Kiranga huyo anayejiita Mwendawazimu ni muongo na MNAFIKI mkubwa sana. Huwa anasema kitu kile ambacho anajua Watanzania wengi tunakiunga mkono halafu baadaye hugeuka 180 degrees na kufanya kile ambacho Watanzania hatukitaki. Mfano ni Katiba mpya.

Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.

Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.

Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.

Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.

Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?

Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?

Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.

1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).

2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.

3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.

4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.

5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Mkuu mimi huwa nawashangaa wapinzani wa Tanzania wao badala ya kupambana kuitoa CCM madarakani wanapambana kumtoa Rais wa CCM madarakani.
 
Mleta mada ameeleza jaribio lolote la kumwongezea Muda Magufuli.
Sijaona akieleza jaribio hilo litafanyika chini ya usimamizi wa nani, au anaekusudia kufanya tendo hilo.

Wachangiaji wengi wamejikita kwa Magufuli kuwa yeye ndie atataka kuongezewa Muda.

Spika wa sasa ndiyr yuleyule wa bunge lolilopita ambaye alisema Magufuli atake asitake ataongezewa Muda.

Kwanini tusiamini kwamba kwa kauli yake hile, jambo hilo linaenda kufanyika?

Kwann tusiamini kwamba kama bunge lile ambapo ccm wengi walipiga makofi na kuunga mkono alichosema Spika, leo wapo wenyewe na wanaweza kuunga mkono hoja bila kaupinzani wowote.

Mara nyingi matokeo hupatikana baada ya mchakato. Watu wanaona mchakato unavyokwenda, kuna matokeo fulani yanakusudiwa kutokea.

Magufuli alivyosema kuwa hato ongeza muda, wkt watunga sheria wanasema watamuongezea muda atake asitake. Yeye akiwa kama mkuu wao, hakuwahi kukemea kauli hiyo, hakuonesha kuchukizwa na kauli kubwa ya mhimili mwingine ukitaka kumwongezea muda wa urais wake.

Hivyo, wkt mwingine imani inatumika kujadili jambo baada ya kuona michakato inavyo fanyika. Kama timu ya taifa haifanyi mazoezi vzr, wachezaji hawalipwi posho zao, kocha hana uzoefu na ujuzi alafu inaenda cheza na timu ya Ujerumani, unategemea nini?

Au tusubiri mpk mpira uishe?
Nchi hii Bunge, Mahakama na Serikali vyote vinaenda kwa amri ya Magufuli.

Magufuli amefikia hubris ya kuwaambia wabunge wa CCM kwamba wao hawajashinda, yeye ndiye kawaweka pale.

Magufuli amefikia kiburi cha kusema anaweza kumkata mtu yeyote kwenye liat ya wagombea uongozi, sio kwa kuangalia maadili, sio kwa kuangalia sifa, sio kwa kuqngalia elimu, bali kwa kuangalia ameamkia upande gani siku hiyo.

Hakuna kitu kikubwa cha level hii kitakachopita bila kupata baraka za Magufuli.

Kwa hiyo huko chini wapambe watapiga kelele kama kawaida.

Lakini kitu cha msingi ni Magufuli mwenyewe analichukuliaje hili.
 
Mkuu mimi huwa nawashangaa wapinzani wa Tanzania wao badala ya kupambana kuitoa CCM madarakani wanapambana kumtoa Rais wa CCM madarakani.
Mkuu,

Nimeongelea hili hapo juu.

Nilisema moja ya matatizo ya siasa zetu ni hizi habari za kumuangalia mtu badala ya mfumo.

Tuseme Magufuli akiona kwamba kujiongezea muda sio sawa, akachagua kibaraka wake akamuweka awe rais baada ya muda wake kuisha.

Sasa hapi hao wapinzani wataridhika?

Na wanajuaje huyo kibaraka wa Magufuli hatakuwa hatari zaidi ya Magufuli?

Nimesemq kuna mambo ya muhimu zaidi kujadiku na kuweka mkakati.

Mambo ya kimfumo.

Kubadili katiba, kupunguza madaraka ya rais, kupata tume huru ya uchaguzi, kuongeza elimu ya uraia kwa umma, kuongeza ushirikishwaji wa umma na civili society, kujenga utamaduni wa uwazi pamoja na kuweka sheria za kuutetea utamaduni huu kama za whistleblowers na za kulazimisha serikali kutoa habari zinazotakiwa na washikadau wa maendeleo na wananchi. Hata kuimarisha consumer protection organizations tu.

Kuna mambo kemkem ya kubadilisha mfumo.

Watu wanataka kuangalia kubadilisha mtu badala ya kubadilisha mfumo.

Tuna safari ndefu sana.
 
Mkuu Kiranga huyo anayejiita Mwendawazimu ni muongo na MNAFIKI mkubwa sana. Huwa anasema kitu kile ambacho anajua Watanzania wengi tunakiunga mkono halafu baadaye hugeuka 180 degrees na kufanya kile ambacho Watanzania hatukitaki. Mfano ni Katiba mpya..
Katiba mpya hata Kikwete aligeuka nyuma.

Lakini hakuongeza muda wa urais.

Whether Magufuli ataongeza au hataongeza muda is debatable but unimportant to me.

What is important is, what are the systemic measures to prevent abuses by any president, not just Magufuli, any president.

Kwa sababu, hata Magufuli akisema hataongeza muda, hili halimzuii kutuachia kibaraka wake atakayefanya mabaya zaidi ya Magufuli.

So, to me, this question is myopic.

The real important question is, how do we restore checks and balances? How do we reduce presidential powers? How do we guard against abuses of presidential powers?

For any president.

Not just Magufuli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa maoni yangu maswali yako hapo chini yatakuwa rahisi sana kuyajibu tukiipata Katiba mpya ya rasimu ya Warioba.

Rasimu ya Warioba ili ya punguza sana madaraka ya Rais kutokana na mapendekezo ya Watanzania. Kikwete hakuwa matatizo na rasimu ile ila maccm walipoisoma walimjia juu kwamba rasimu ile ingepitishwa ingekuwa ni kaburi rasmi la maccm kwani wasingeweza kuiba tena chaguzi kama ilivyo sasa.

Vitisho vile vya maccm vikamuogopesha Kikwete hivyo naye akawa hana jinsi bali kuikana.
Katiba mpya hata Kikwete aligeuka nyuma.

Lakini hakuongeza muda wa urais...
 
Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili..
Acha itokee maana Watanzania wamelala usingizi sana wanategemea wapinzani pekee
 
Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili..
Hakuna mazito yoyote! Kama nchi imepiga kura wabunge wa upinzani wamepatikana wawili. Mazito gani ambayo wabunge wa wananchi waliwasikisha mawazo ya nchi yao yatatokea. Labda mazito yawe shangwe kubwa ambalo halijapata kutokea nchi nzima
 
Hakuna chochote kitatokea mambo yataenda kama kawaida magufuli 30 tena....
 
Back
Top Bottom