Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Nahisi ameona moshi sasa anahofia motoHiyo hoja umeitoa wapi?
Kwani wewe moshi hujauona???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi ameona moshi sasa anahofia motoHiyo hoja umeitoa wapi?
Hunalolote mmejikuta hamna jinsi inabidi mbadili gia anganiKwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.
Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.
Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.
Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.
Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?
Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?
Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.
1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).
2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.
3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.
4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.
5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Hujamuelewa tu,ni swali la msingi sana.Huyu jamaa nae ...
Nimefurahi sana kwamba unalijua hilo. Unajua pia kwamba hata sarakasi nyingi za uchaguzi mkuu uliopita zimefanywa na watu kama hao, ambao wanaona mimi ni mkuu wa wilaya, mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa mkoa, na nafasi nyingine za kuteuliwa na rais, kwamba hofu ilikua asipokua huyu aliyeniteua nafasi yangu itakuwaje?Hao wapambe mbona walikuwepo tangu utawala wa Nyerere.
Nyerere alitoa hotuba moja akasema kila alipokuwa akitaka kujiuzulu, wapambe wakawa wanamuambia, Mwalimu, usituache, taifa linakuhitaji sana.
Akawa anaongeza miaka mitano, anasema hii ya mwisho.
Ikiisha, wapambe wanamwambia "Mwalimu, usituache, taifa linakuhitaji sana".
Mwisho akastuka. Akagundua kwamba issue si kwamba taifa linamuhitaji.
Issue ni kwamba hao wapambe walikuwa wanamuhitaji kwa faida zao binafsi. Walikuwa hawajui rais anayekuja atakuwa nani na atakuja na watu gani.
Akawakatalia, akajiuzulu.
Kwa hiyo hizi kelele za wapambe zipo tu.
Lakini je, rais mwenyewe anataka nini?
Rais kashasema hataongeza muda.
Na hakuna factual evidence kwamba ataongeza.
Ni speculations tu.
Yes.Nimefurahi sana kwamba unalijua hilo. Unajua pia kwamba hata sarakasi nyingi za uchaguzi mkuu uliopita zimefanywa na watu kama hao, ambao wanaona mimi ni mkuu wa wilaya, mkurugenzi wa tume ya Taifa ya uchaguzi, mkurugenzi wa halmashauri, mkuu wa mkoa, na nafasi nyingine za kuteuliwa na rais, kwamba hofu ilikua asipokua huyu aliyeniteua nafasi yangu itakuwaje?
Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.
Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.
Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.
Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.
Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?
Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?
Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.
1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).
2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.
3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.
4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.
5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Mkuu mimi huwa nawashangaa wapinzani wa Tanzania wao badala ya kupambana kuitoa CCM madarakani wanapambana kumtoa Rais wa CCM madarakani.Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.
Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.
Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.
Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.
Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?
Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?
Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.
1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).
2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.
3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.
4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.
5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Mwislamu = Raha!Next term ni zamu ya Uislam, sasa kama huyo anayetaka kubadili katiba ataslimu hapo sawa"Alisikika MNEC mmoja pale Dodoma "
Nchi hii Bunge, Mahakama na Serikali vyote vinaenda kwa amri ya Magufuli.Mleta mada ameeleza jaribio lolote la kumwongezea Muda Magufuli.
Sijaona akieleza jaribio hilo litafanyika chini ya usimamizi wa nani, au anaekusudia kufanya tendo hilo.
Wachangiaji wengi wamejikita kwa Magufuli kuwa yeye ndie atataka kuongezewa Muda.
Spika wa sasa ndiyr yuleyule wa bunge lolilopita ambaye alisema Magufuli atake asitake ataongezewa Muda.
Kwanini tusiamini kwamba kwa kauli yake hile, jambo hilo linaenda kufanyika?
Kwann tusiamini kwamba kama bunge lile ambapo ccm wengi walipiga makofi na kuunga mkono alichosema Spika, leo wapo wenyewe na wanaweza kuunga mkono hoja bila kaupinzani wowote.
Mara nyingi matokeo hupatikana baada ya mchakato. Watu wanaona mchakato unavyokwenda, kuna matokeo fulani yanakusudiwa kutokea.
Magufuli alivyosema kuwa hato ongeza muda, wkt watunga sheria wanasema watamuongezea muda atake asitake. Yeye akiwa kama mkuu wao, hakuwahi kukemea kauli hiyo, hakuonesha kuchukizwa na kauli kubwa ya mhimili mwingine ukitaka kumwongezea muda wa urais wake.
Hivyo, wkt mwingine imani inatumika kujadili jambo baada ya kuona michakato inavyo fanyika. Kama timu ya taifa haifanyi mazoezi vzr, wachezaji hawalipwi posho zao, kocha hana uzoefu na ujuzi alafu inaenda cheza na timu ya Ujerumani, unategemea nini?
Au tusubiri mpk mpira uishe?
Mkuu,Mkuu mimi huwa nawashangaa wapinzani wa Tanzania wao badala ya kupambana kuitoa CCM madarakani wanapambana kumtoa Rais wa CCM madarakani.
Katiba mpya hata Kikwete aligeuka nyuma.Mkuu Kiranga huyo anayejiita Mwendawazimu ni muongo na MNAFIKI mkubwa sana. Huwa anasema kitu kile ambacho anajua Watanzania wengi tunakiunga mkono halafu baadaye hugeuka 180 degrees na kufanya kile ambacho Watanzania hatukitaki. Mfano ni Katiba mpya..
Katiba mpya hata Kikwete aligeuka nyuma.
Lakini hakuongeza muda wa urais...
Acha itokee maana Watanzania wamelala usingizi sana wanategemea wapinzani pekeeNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili..
Dikteta hatakubali kuwa na katiba mpya tenaKwa maoni yangu maswali yako hapo chini yatakuwa rahisi sana kuyajibu tukiipata Katiba mpya ya rasimu ya Warioba...
Hakuna mazito yoyote! Kama nchi imepiga kura wabunge wa upinzani wamepatikana wawili. Mazito gani ambayo wabunge wa wananchi waliwasikisha mawazo ya nchi yao yatatokea. Labda mazito yawe shangwe kubwa ambalo halijapata kutokea nchi nzimaNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili..